umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Tukiondoa urasimu katika utoaji wa huduma za umma tutapata utawala bora

    DIBAJI Tanzania ni nchi yenye historia kubwa na ya muda mrefu ya urasimu ambao umeanza toka kipindi cha ukoloni. Ukiangalia urasimu huu ulipandikizwa na wakoloni ili iwe rahisi kuitawala na kuendesha nchi na kuchukua wanavyovitaka kwa kipindi hicho. Urasimu umedumu toka kipindi hicho na...
  2. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kwa wasafiri wanaokwenda Hong Kong

    Kumekuwa na matukio ya Watanzania wanaosafiri kwenda Hong Kong kuzuiliwa kuingia au kuhojiwa kwa muda mrefu na maafisa wa Idara ya Uhamiaji ya Hong Kong katika uwanja wa ndege wa Hong Kong. Hali hiyo imejitokeza zaidi katika kipindi cha hivi karibuni tangu Hong Kong ifungue mipaka yake kuruhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada. Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari. Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  5. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma watakiwa kujinunulia sare wenyewe kuhudhuria Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dodoma

    Habari ndugu zangu, Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma. Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa...
  6. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini mtumishi mpya wa umma ili afanikiwe kwenye ajira yake?

    Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TAMISEMI, kwanini unanyanyasa watumishi wa umma kwa kuwanyima uhamisho wao halali?

    Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI. Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu na maarifa ni mali ya Umma. Kipaji na ujuzi ni mali binafsi

    Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika kukuza Uwajibikaji Tanzania

    Picha: RF studio DIBAJI Uwajibikaji ni moja ya nguzo muhimu sana ya ustawi wa taifa lolote duniani. Hata maitaifa makubwa na yenye ustawi kimaendeleo kama Marekani yamezingatia uwajibikaji ili kufikia hapo walipo sasa. Teknologia ni moja ya nyezo umuhimu katika karne ya ishirini na moja ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

    Rais Samia amesema anasubiria ripoti ya Timu aliyoiunda Kupitia mashirika ya Umma yanayoripoti Kwa Msajili wa Hazina Ili juyafutilia mbali Yale ambayo hayana Tija Wala faida. Amesema Mashirika Yatakayokufa basi wahusika wajiandae kufa nayo. “Serikali tumeamua kufanya tathmini ya utendaji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya rasmi ya Shirika la Nyumba (NHC) kuhusu utekelezaji wa Sera ya Ubia wa Uwekezaji

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za wapangaji wa majengo ya nyumba za shirika hilo waliopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam kutoa malalamiko kuwa wanahamishwa pasipokuwa na mazungomzo yoyote baina ya oande zote mbili. Hii hapa taarifa kamili kutoka NHC…...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine. Twakuomba katika kuongoza na kutawala, uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema, Hekima na Busara ili pamoja...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA:- E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine.Twakuomba katika kuongoza na kutawala,uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema ,Hekima na Busara ili pamoja...
  16. JamiiForums Tanzania Tuna haja kuwa na Ofisi ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Watumishi wa Umma kwa maendeleo endelevu

    Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu sana kwa kuboresha utawala bora kwa nchi yetu ya Tanzania, hii inatokana na mambo ambayo viongozi...
  18. O

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jukumu la Teknolojia katika kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta za Umma

    Teknolojia imekuwa na faida kubwa katika maendeleo ya jamii na uchumi wa dunia nzima. Sasa hivi, teknolojia imeendelea kuboresha maeneo mengi, ikiwa ni pamoja na utawala bora na uwajibikaji katika taasisi za umma. Katika makala hii, tutajadili jinsi teknolojia inavyoweza kutumika kuboresha...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Maridhiano kwetu yanakosa chachandu ya rungu la umma

    Kwa mara nyingine elimu haina mwisho na ni mburula pekee mwenye kuamini kuwa kafika. Hapo kwa majirani Ruto na Kenya Kwanza wanapelekwa mpera mpera. Kisa na mkasa kitisho cha uhakika cha nguvu ya umma kilichopo kama maridhiano yatakwama. Kwamba: Tayari mambuzi wa huko wako kwenye vidole...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga mtauthibitishia umma haya?

    Ni muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga. https://www.jamiiforums.com/threads/msimu-bora-kwa-kikosi-kilicho-bora-tanzania.2068095/ Yanga wanazidi kuonesha makubwa ambayo niliyaandika katika uzi ulopita. Leo kabla ya mechi ya leo dhidi ya wapinzani wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…