Mnaoiua Chato kwa kuelekeza hata majengo ya umma yasitumike mnamkomoa JPM au mnawakomoa Watanzania?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Ofisi Nyingi za serikali zilizokamilika hazina watumishi badala yake watumishi wamerundikana kwenye ofisi zao za zamani wakisubiri hadi waelekezwe kuhamia.

Taasisi za fedha zimehamisha watendaji huku hospitali ikitelekezwa kwa kukosa wataalam .

Uwanja wa ndege unaoweza kuhudumia abiria wa Geita, Kigoma, Rwanda, Bukoba, Burundi na Uganda umetelekezwa.

Hifadhi ya Rubondo iliyokuwa hifadhi ya mazalia ya samaki imekabidhiwa wanasiasa wamalize kuharibu mazalia ya Samaki kwa kigezo kwamba samaki ni mali ya wavuvi.

Mbuga ya wanyama wameingizwa mifugo hakuna serious control inayoendana na mwanzilishi wake mzee JPM

Wanaofanya yote haya ni wale wale wanaokwenda kwenye kaburi lake wakijidai wana uchungu naye ; ni wale wale wanaosema alikuwa jembe, ni wale wale waliopitisha mabilioni ya shilingi kwenda kuendeleza ukanda huu.

Je hizi hujuma mnamfanyia marehemu au mnatufanyia sisi tuliobaki na vizazi vyetu? Tuacheni unafiki mnatukomoa sana wananchi kwa kutokuwa na moyo wa huruma na fedha za umma.

Hadi mabasi mnakataza yasipite kwa JPM mnakisirani gani? Huyu mzee si mlikuwa mnamsifu morning to evining? Watu wa CCM mna roho mbaya sana kama mwenyekiti wenu mnaweza mfanyia ukatili huu baada tu ya kufumba macho basi hata familia zenu ipo siku mtaziuza kwa lengo la kupata mlo
 
Mkuu hayo ndiyo matokeo ya miradi fiksi ya dictator, Magufuli, alionywa akaziba masikio.
Tazama mwenziwe Mobutu huko Gbadolite
ctt463-980x442.jpg

Airport ya Kimataifa, ambayo hata concorde yaweza kutua.

Tulipokuwa tunasema Magufuli dictator anafuja pesa ya umma mlikuwa hamtuelewi.
 
Sukuma Gang acha kelele, Uwanja wa Ndege Chato ni white elephant
 
Mkuu nakukumbusha tu leo ni Simba na Yanga.
 
.... Kuna watanzania huwa wanajiona wao ndio wana - haki na wanastahili kuendelezwa maeneo yao tu....Barabara,madaraja,stend alizojenga mikoani zote zipo Chato? kwani Chato Mtanzania alikuwa Peke yake??? Tuamke Usingizini kila eneo ambalo ni haki miliki ya nchi hii lina haki ya kuendelezwa...huyu Mzee Mungu angemuweka Usafiri wa ndege ungekuja kuwa kama daladala.
 
Hatuna haja ya kukupeleka shule kuelewa kuwa, mtu au serikali inawekeza pale panapoweza kuchochea ukuaji wa uchumi.

Sasa unajenga uwanja wa kimataifa Chato kwa ajili ya abiria mmoja, na abiria mwenyewe katangulia mbele za haki!
Wengine wote hawana hela hata ya bodaboda!
 
.... Kuna watanzania huwa wanajiona wao ndio wana - haki na wanastahili kuendelezwa maeneo yao tu....Barabara,madaraja,stend alizojenga mikoani zote zipo Chato? kwani Chato Mtanzania alikuwa Peke yake??? Tuamke Usingizini kila eneo ambalo ni haki miliki ya nchi hii lina haki ya kuendelezwa...huyu Mzee Mungu angemuweka Usafiri wa ndege ungekuja kuwa kama daladala.
Sahihi.Sasa ndiyo uhamie ukaishi huko ili utumie yote yaliyoanzishwa badala ya kuitelekeza tu.
 
Ofisi Nyingi za serikali zilizokamilika hazina watumishi badala yake watumishi wamerundikana kwenye ofisi zao za zamani wakisubiri hadi waelekezwe kuhamia.

Taasisi za fedha zimehamisha watendaji huku hospitali ikitelekezwa kwa kukosa wataalam .

Uwanja wa ndege unaoweza kuhudumia abiria wa Geita, Kigoma, Rwanda, Bukoba, Burundi na Uganda umetelekezwa.

Hifadhi ya Rubondo iliyokuwa hifadhi ya mazalia ya samaki imekabidhiwa wanasiasa wamalize kuharibu mazalia ya Samaki kwa kigezo kwamba samaki ni mali ya wavuvi.

Mbuga ya wanyama wameingizwa mifugo hakuna serious control inayoendana na mwanzilishi wake mzee JPM

Wanaofanya yote haya ni wale wale wanaokwenda kwenye kaburi lake wakijidai wana uchungu naye ; ni wale wale wanaosema alikuwa jembe, ni wale wale waliopitisha mabilioni ya shilingi kwenda kuendeleza ukanda huu.

Je hizi hujuma mnamfanyia marehemu au mnatufanyia sisi tuliobaki na vizazi vyetu? Tuacheni unafiki mnatukomoa sana wananchi kwa kutokuwa na moyo wa huruma na fedha za umma.

Hadi mabasi mnakataza yasipite kwa JPM mnakisirani gani? Huyu mzee si mlikuwa mnamsifu morning to evining? Watu wa CCM mna roho mbaya sana kama mwenyekiti wenu mnaweza mfanyia ukatili huu baada tu ya kufumba macho basi hata familia zenu ipo siku mtaziuza kwa lengo la kupata mlo
Ilitokea kwao kuku wa zabanga sasa inatokea kwa j

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hayo ndiyo matokeo ya miradi fiksi ya dictator, Magufuli, alionywa akaziba masikio.
Tazama mwenziwe Mobutu huko Gbadolite
View attachment 2804786
Airport ya Kimataifa, ambayo hata conecorde yaweza kutua.

Tulipokuwa tunasema Magufuli dictator anafuja pesa ya umma mlikuwa hamtuelewi.

Usimlingan8she JPM na vitu vya hovyo. Mobutu na JPM ni ardhi na mbingu.
 
Ofisi Nyingi za serikali zilizokamilika hazina watumishi badala yake watumishi wamerundikana kwenye ofisi zao za zamani wakisubiri hadi waelekezwe kuhamia.

Taasisi za fedha zimehamisha watendaji huku hospitali ikitelekezwa kwa kukosa wataalam .

Uwanja wa ndege unaoweza kuhudumia abiria wa Geita, Kigoma, Rwanda, Bukoba, Burundi na Uganda umetelekezwa.

Hifadhi ya Rubondo iliyokuwa hifadhi ya mazalia ya samaki imekabidhiwa wanasiasa wamalize kuharibu mazalia ya Samaki kwa kigezo kwamba samaki ni mali ya wavuvi.

Mbuga ya wanyama wameingizwa mifugo hakuna serious control inayoendana na mwanzilishi wake mzee JPM

Wanaofanya yote haya ni wale wale wanaokwenda kwenye kaburi lake wakijidai wana uchungu naye ; ni wale wale wanaosema alikuwa jembe, ni wale wale waliopitisha mabilioni ya shilingi kwenda kuendeleza ukanda huu.

Je hizi hujuma mnamfanyia marehemu au mnatufanyia sisi tuliobaki na vizazi vyetu? Tuacheni unafiki mnatukomoa sana wananchi kwa kutokuwa na moyo wa huruma na fedha za umma.

Hadi mabasi mnakataza yasipite kwa JPM mnakisirani gani? Huyu mzee si mlikuwa mnamsifu morning to evining? Watu wa CCM mna roho mbaya sana kama mwenyekiti wenu mnaweza mfanyia ukatili huu baada tu ya kufumba macho basi hata familia zenu ipo siku mtaziuza kwa lengo la kupata mlo

Watakuwa na roho mbaya sana. Hadi mabasi wanakataza yasipite kwa Mzee.
 
Back
Top Bottom