Kitendo cha Mwenezi kudanganya umma kwamba mwenyekiti alikwenda na jina lake kwenye kikao kunawafundisha nini chawa na viongozi wengine? Aheshimiwe?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
935
4,396
Mtu akipotosha kwa jina la Kiongozi mkuu wa taasisi asipuuzwe. Kama aliyempeleka kwenye mkutano mkuu ni mwenyekiti na kwamba hakuna kuhoji tusipuuze. Alituambia JPM ni ndugu yake ila alimtumbua.

Hii yakusema alipita kwa turugfu inatuma salam kwa viongozi wenzake kwamba wasipomtii wataondolewa. Let us wait and see how powerful he is

Japo kibusara siyo poa kumkoromea PM coz ni sawa na baba yake but anyway ndiyo malezi tuliyowachagulia vijana wetu tuwaombee itokee miujiza wapate hekima

However, viongozi waliofanikiwa Duniani walianza na utii wakafuatiwa na usikivu kisha ubunifu
 
Back
Top Bottom