Gazeti la leo 15/3/2020, front page Daily News.
Picha ni nzuri lakini ati anayejenga mradi huo ni Yapi Merzeki!!!!!!!
Mhariri naona amechok kazi.
No proof reading na anabeba tu makosa ya waandishi wake.
Hakumbuki gazeti hili la serikali linasomwa dunia nzima.
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza...
Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa
Ni imara na haikati misumeno
Ina watts 550
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ina warranty mwaka mmoja
Bei 1,350,000 tu
Tunapatikana kariakoo ndanda st
Tunadeliver free kwa dar pia.
Call/text/WhatsApp 0656666662.
Naomba wachumi mje mtujuze athari za Bajeti ya 2020/21 kwenye sector ya nishati elekezwa kwenye mradi mmoja wa Nyerere Hydro Electric Power huko Rufiji. Kama siyo mchumi soma na upite.
Angalia kiambatisho hapo chini.
KWANINI MRADI WA UZALISHAJI UMEME WA MAJI BWAWA LA NYERERE MTO RUFIJI NI MUHIMU?
Mradi huu unatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme hatua ambayo inaelezwa kwamba itasaidia kupunguza tatizo la nishati hiyo muhimu kiuchumi na kijamii hapa nchini. Wasomi wanaeleza kukamilika kwa mradi huu...
Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima.
Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam.
Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering )...
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.
Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.
Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini...
Habari wadau..
Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha Magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..
Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki...
Shirika la umeme la Zanzibar limekiri kudaiwa na shirika la umeme TANESCO deni la shilingi bilioni kumi lakini limesema halitalipa bali deni hilo litalipwa na Serikali ya muungano.
Limesema Serikali ya muungano inadaiwa na Serikali ya Zanzibar kwa hiyo watakatana hukohuko.
Kwanza haijulikani...
BODI ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) inatarajia kupokea umeme wa mradi wa maporomoko ya Mto Kagera ya Rusumo, unaojengwa katika Kata Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera ifikapo mwaka 2021.
Mradi huo utakapoanza kutekelezwa, utasaidia kutatua changamoto za umeme nchini. Mradi huo...
Nimekuwa nikikaa nao kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kuhusu kutokulipwa posho za maji na umeme, nilijaribu kumuuliza askari mmoja akasema kuna mtu mmoja wizarani anakwamisha jambo hilo.
Sasa nauliza kumbe! Kuna utaratibu wa majeshi kulipwa posho za maji na umeme? Je, hawa polisi na...
Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme
Sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho?
Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha?
Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao...
SHIRIKA la Umeme Tanzania(Tanesco) limepata Euro milioni 139 kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa vituo tisa vya kupoza umeme sambamba na kujenga mfumo wa kisasa wa kudhibiti umeme, ambao utakuwa na uwezo wa kutambua tatizo la kukatika umeme lilipoanzia na kufanyiwa kazi mapema.
Hayo...
Duniani yapo mengi ambayo yanavuta hisia ukiyasikia. Wengi wetu huamini kuwa umeme umekuwa ukizalishwa kutoka katika vyanzo mbalimbali kama mashine, betri, jua na maji.
Lakini amini au usiamini kuna viumbe ambao wanazalisha umeme mwingi wenye nguvu hata ya kuweza kumuua binadam mtu mzima ndani...
Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini, yaipiku Nigeria iliyokua kinara
Sasa hivi Tanzania imefikia 74% katika kuunganisha umeme vijiji, Tanzania inategeme kufikia 95% ifikapo June 2022, na kuifanya nchi ya sita Afrika kufikia ""Universal Access" na ya kwanza katika ukanda...
Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk Medard Kalemani ameagiza makandarasi au mameneja wanaolazimisha wananchi kulipia nguzo za umeme ili kuunganishiwa nishati hiyo kukamatwa.
Amesema watu hao wanapuuza agizo la Serikali inayotaka nguzo hizo kutolewa bure.
Ametoa ufafanuzi huo Februari 15, 2020...
Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020.
Cha kufanya;
1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa
2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.