Mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge wakamilisha ujenzi wa miundombinu wezeshi

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
1552570055284.png

Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20,Upande wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji Rufiji – MW 2,115:

  • Hatua iliyofikiwa ni: kupatikana kwa mkandarasi wa mradi wa kufua umeme utokanao na nguvu ya maji katika Mto Rufiji ambaye ni Kampuni ya Ubia kati ya Arab Contractors na Elsewedy Electric S.A.E kutoka Misri ambapo mkataba wa ujenzi umesainiwa na mkandarasi alikabidhiwa eneo la mradi mwezi Februari 2019.
  • Mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu wezeshi ikijumuisha njia ya umeme wa msongo wa kV 33 kutoka Msamvu hadi eneo la mradi; mifumo ya huduma ya maji na ya mawasiliano ya simu; kukamilika kwa ujenzi wa nyumba 10 na kuendelea na ukarabati wa nyumba 28 za iliyokuwa kambi ya RUBADA; ujenzi wa barabara za Kibiti – Mloka – Mtemere – Matambwe Junction – Mto Rufiji (km 210) na Ubena Zomozi – Mvuha – Kisaki – Mtemere Junction (km 178.39) zimekamilika.
 
View attachment 1045585

Umeme wake utasaidia Tanzania kuweza kupiga hatua kubwa katika maendeleo na hata kuufikia uchumi wa viwanda.
 
Bil
View attachment 1045585
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20,Upande wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji Rufiji – MW 2,115:

  • Hatua iliyofikiwa ni: kupatikana kwa mkandarasi wa mradi wa kufua umeme utokanao na nguvu ya maji katika Mto Rufiji ambaye ni Kampuni ya Ubia kati ya Arab Contractors na Elsewedy Electric S.A.E kutoka Misri ambapo mkataba wa ujenzi umesainiwa na mkandarasi alikabidhiwa eneo la mradi mwezi Februari 2019.
  • Mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu wezeshi ikijumuisha njia ya umeme wa msongo wa kV 33 kutoka Msamvu hadi eneo la mradi; mifumo ya huduma ya maji na ya mawasiliano ya simu; kukamilika kwa ujenzi wa nyumba 10 na kuendelea na ukarabati wa nyumba 28 za iliyokuwa kambi ya RUBADA; ujenzi wa barabara za Kibiti – Mloka – Mtemere – Matambwe Junction – Mto Rufiji (km 210) na Ubena Zomozi – Mvuha – Kisaki – Mtemere Junction (km 178.39) zimekamilika.
Bila Mh Mbowe usingefikia hapo. Lol
 
Mafanikio yaliyopatikana mpaka ni pamoja na ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu wezeshi ikijumuisha njia ya umeme wa msongo wa kV 33 kutoka Msamvu hadi eneo la mradi; mifumo ya huduma ya maji na ya mawasiliano ya simu; kukamilika kwa ujenzi wa nyumba 10 na kuendelea na ukarabati wa nyumba 28 za iliyokuwa kambi ya RUBADA; ujenzi wa barabara za Kibiti – Mloka – Mtemere – Matambwe Junction – Mto Rufiji (km 210) na Ubena Zomozi – Mvuha – Kisaki – Mtemere Junction (km 178.39) zimekamilika.
 
Karibu jamvini MIMI BABA YENU, umepita kule utambulisho?
 
Mafanikio yaliyopatikana mpaka ni pamoja na ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu wezeshi ikijumuisha njia ya umeme wa msongo wa kV 33 kutoka Msamvu hadi eneo la mradi; mifumo ya huduma ya maji na ya mawasiliano ya simu; kukamilika kwa ujenzi wa nyumba 10 na kuendelea na ukarabati wa nyumba 28 za iliyokuwa kambi ya RUBADA; ujenzi wa barabara za Kibiti – Mloka – Mtemere – Matambwe Junction – Mto Rufiji (km 210) na Ubena Zomozi – Mvuha – Kisaki – Mtemere Junction (km 178.39) zimekamilika.

Kwa hiyo tukutegemee wewe kutupatia habari za bwawa?
 
1552770555832.png

SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati pamoja na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na kasi ya maandalizi ya ujenzi wa Mradi wa Kufua Umeme katika Maporomoko ya Maji ya Mto Ru ji wa megawati 2,115 unayofanywa na Kampuni ya ubia ya Arab Contractors, Osman Ahmed Osman na Elsewedy Electric za Misri.

Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Danstan Kitandula, wametoa kauli juzi walipotembele mradi huo wilayani Ruji mkoani Pwani. Dk Kalemani alisema tangu mkandarasi akabidhiwe eneo la mradi Februari 14, mwaka huu, na kupewa miezi sita cha kukusanya vifaa ili kuanza ujenzi wa mradi, ndani ya muda mfupi amefanya kazi kwa asilimia 40.

Alisema ni matumaini ya serikali atamaliza maandalizi yake katika miezi minne iliyobakia na kuanza ujenzi rasmi Juni mwaka huu ambao utachukua takribani miezi 36 hadi kukamilika. Pamoja na hayo, alisema wizara imeunda kikosi kazi kikubwa mahususi chenye uwakilishi wa taasisi mbalimbali kumsimamia mkandarasi na serikali kupitia wizara hiyo inamsimamia kwa nguvu zote.

Alisema yeye pamoja na viongozi wenzake kupitia kwa Rais John Magufuli, wamepewa maelekezo ya mradi huo kuwa ukamilike kwa haraka, na wao wakiwa wamepewa dhamana hiyo wanao wajibu wa kuusimamia kikamilifu. Alimshukuru Rais Magufuli kwa kuweka msukumo mkubwa hadi kuanza kutekelezwa kwa mradi huo na kutaka Watanzania wamuunge mkono ili ukamilike kama ulivyopangwa.

Akizungumzia mradi huo, alisema unajumuisha ujenzi wa bwawa kuu lenye uwezo wa kutunza maji takribani mita za ujazo bilioni 35.2 na yakipungua ni bilioni 17.08, kutakuwa na kituo cha kufua umeme chenye mashine tisa zenye uwezo wa megawati 235, kila moja hivyo kufanya uwezo kufua megawati 2,115. Dk Kalemani alisema kwa sasa mahitaji ya umeme nchini ni makubwa kwani nchi inatekeleza sera ya uchumi wa viwanda hivyo huduma za umeme wa uwakika unahitajika zaidi.

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Danstan Kitandula licha ya kupongeza na kuridhishwa na kamati yake kuhusu kasi ya maandalizi ya mradi huo, aliitaka wizara iliyopewa dhamana ya kusimamia mradi huo mkubwa kuhakikisha inasimamia vizuri.

Alisema anapozungumzia nishati ya umeme wa maji ndiyo wenye gharama nafuu , hivyo mradi huo una umihmu kubwa kwa uchumi wa nchi. “Yamesemwa mengi kuhusiana na mradi huu, lakini yanaposemwa hayo tukumbuke kwamba ni mradi ambao unazungumzia uwekezaji wa shilingi trilioni 6.5 ambao si mradi mdogo, bali ni mradi mkubwa, na fedha hizi zikiingia kwenya uchumi wa nchi yetu, lazima zitaibua ukuaji wa uchumi wa Taifa,” alisema Kitandula.

Kitandula aliwaomba wafanyabiashara wa Kitanzania waitumie fursa hiyo ya kuwepo kwa mradi mkubwa huo kuhakikisha wanafanya kila linalowekekana ili kupata zabuni zitakazokuwa zinatokea katika ujenzi. Kwa upande wake, Mratibu wa mradi huo kutoka Shirika la Umeme Tanzania, Justus Mtolela akitoa maelezo yake kwa wajumbe wa kamati hiyo alisema Mto Ruji ni muunganiko mito mikuu mitatu ambayo ni Mto Kilombero unaochangia maji kwa asilimia 65, Ruaha Mkuu unaochangia maji kwa asilimia 15 na Mto Luwegu unaochangia maji kwa asilimia 19 na asilimia moja iliyobaki hutokana na vijito vingine vidogo vidogo.

Wakitembelea eneo la Stesheni ya Tazara ya Fuga kuona upanuzi wa eneo la kushushia mizigo na kuchepusha njia ya reli, Mwakilishi wa eneo Tazara, Gidion Mbepi alisema tayari kazi kuchepusha njia tatu za reli yenye urefu wa mita 650 umekamilika kwa asilimia 100 na eneo la kuhifadhi mizigo ya ukubwa wa urefu mita 120 na upana mita 40 ujenzi wake unatarajiwa kukamilishwa mwishoni mwa Aprili mwaka huu
 
Back
Top Bottom