Tatizo la kukatika kwa umeme Wilayani Rorya

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Napenda kumtaarifu Mhe. Kalemani - Waziri wa Nishati juu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Rorya. Ikifika muda wa saa moja usiku na kuendelea utashuhudia ghafla umeme unakatika hata kwa muda wa masaa mawili.

Umeme unaweza kurudi na tena ghafla unakatika. Mhe. Waziri alituaminisha kuwa umeme sasa hivi utakuwa wa uhakika kinyume chake umeme umekuwa wa shida sana Wilayani Rorya. Mhe. Waziri tunakuomba uchukue hatua za haraka.
 
Wapo bize na bwawa la kimkakati ndio kipaumbele, nyie mnaokatikiwa msubiri kwanza
 
Back
Top Bottom