Matamshi ya Mh. Kassim Majaliwa kuhusiana na Bwawa la Umeme la Nyerere

Globetrotter

Member
Mar 25, 2021
9
17
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwezi wa sita na pesa ipo.

Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazini anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
 
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwez wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazin anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
PM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.

Umeme wa Stigler utawaka ufikapo mwezi Juni , 2022!.
Amini nakuambia.
P
 
Ujue ww kabla ya mfalme kukuzingua ulikuwa very descent na intelligent ila sasa hv nakuona kama chakubanga tuu.
Jaribu kuirudia misingi bora uliyokuwa nayo maana ww tayari ni muhenga na itakuwa aibu sana kukumbukwa kwa mambo na point za hovyo za kuunga juhudi.
Hujachelewa na bado una nafasi ya kuwa mwanahabari unayeheshimika na sio msaka tonge. Uteuzi wa GG umeharibu akili za wanahabari wengi sana
 
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwez wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazin anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
MKM Ni muongo wa Taifa. Tulete videos ngapi za uthibitisho?
 
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwez wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazin anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
Ndivyo mkataba unavyosema, na situation on the ground zinaonyesha mradi unatekelezwa kama ilivyopangwa hivyo kuashiria kuwa utakamilika kwa muda uliopangwa.
 
Majaliwa hana credibility tena ya kuwaambia uma wa Watanzania lolote lile.He is a hopeless liar!
 
Ujue ww kabla ya mfalme kukuzingua ulikuwa very descent na intelligent ila sasa hv nakuona kama chakubanga tuu.
Jaribu kuirudia misingi bora uliyokuwa nayo maana ww tayari ni muhenga na itakuwa aibu sana kukumbukwa kwa mambo na point za hovyo za kuunga juhudi.
Hujachelewa na bado una nafasi ya kuwa mwanahabari unayeheshimika na sio msaka tonge. Uteuzi wa GG umeharibu akili za wanahabari wengi sana
Post inahusiana na Majaliwa na bwawa la umeme, wewe umeshaanza kumvamia mtu na maneno ya kwenye kanga. Mnasisitiza uhuru wa kutoa maoni Ila hamuheshimu maoni ya wengine, mnakwama wapi!?.. kwani lazima mtu atoe maoni unayopenda kusikia tu!?.. yakiwa tofauti mnaanza mipasho?.. acheni upumbavu bwana.
 
Kwa sasa ninampa PM benefit of doubt.
Tunasubiri hiyo june 2020 tuone umeme ukiwaka. Ukiwaka tutampongeza na usipowaka tutamuwashia moto wa hatari.
 
Huyu PM ni muongo sana kuwahi kutokea. Mbona Waislam ni watu safi sana, huyu mwenzao ana shida gani?

Albadir inamwandama huyu mzee.
Unamaanisha huyuhuyu aliesema akiwa Ng'ambo kuwa Buhngeh ni Dhaifu?
Supikah akamuita huku kafura aje, "amelihalilisha Buhngeh aje ajieleze na alivyofika ndani ya Buhngeh lake akarudia na kusema tena Buhngeh ni dhaifu?

Tatizo kubwa la walioshiba Imani hasa Waislam hawataki ujingaujinga.

Chakata hiyo.
 
Back
Top Bottom