umeme

  1. J

    Hospitali ya wilaya ya Korogwe haina umeme!

    Hospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ( Makuyuni) mkoani Tanga haina Huduma ya umeme. Daktari mkuu wa wilaya amesema kukosekana kwa umeme kunawafanya washindwe kutoa huduma muhimu za maabara na upasuaji. Source ITV habari za saa Maendeleo hayana vyama
  2. Fahamu namna ya kuuzima Moto unaotokana na shoti ya umeme

    FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Habari wadau, Happy end of the month (January woyoooo),na happy new year kwa familia yooooote ya Home of Great Thinkers (HGT). Baada ya salaam twende kwenye maada yetu, FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Kama tunavyojua kuwa nishati ya...
  3. J

    Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  4. Msaada: Naomba materials ya kujifunza electric domestic wiring/ wiring ya umeme wa nyumbani

    Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele. Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring...
  5. Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  6. Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Nawasalimu,kampuni yetu inatoa huduma za uwekaji wa umeme majumbani na viwandani kwa ubora wa hali ya juu,tunafanya kazi za sizi zote,tunauza vifaa vya umeme original,pia tunachora michoro ya umeme na kuidhinisha forms za maombi ya kufungiwa umeme. Tumesajiliwana bodi ya wakandarasi electrical...
  7. TANESCO mkoa wa Iringa mna shida gani? Kwanini kila siku kata ya Ifunda inakosa umeme?

    Tangu tarehe 1 mwezi wa 1, wana Nchi walisherekea sikukuu ya mwaka mpya bila umeme. Umeme ulikata kuanzia saa saa 12 jioni, mpaka saa 4 usiku ndiyo mkarudisha. Tangu tarehe moja mwezi huu, mpaka leo hii tarehe 7, mmekuwa mnakata umeme kila siku. Mna kata umeme saa 2 asubuhi au saa 8 mchana...
  8. M

    Wataalam wa umeme wa majumbani na viwandani

    Ndugu wa jamii, Napenda kuwatambulisha kwenu mabingwa wa umeme wa majumbani na viwandani. Ukiwa na mahitaji ya kufungiwa umeme nyumbani au kiwandani kwako, ramani za umeme (kwa ajili ya bima, mkopo wa benki, osha, crb, TANESCO), umeme wa jua, ukaguzi wa mifumo ya umeme, service a generator...
  9. MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
  10. Njombe: Watu Wanne watiwa nguvuni kwa tuhuma za wizi wa nyaya za umeme

    Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa akizungumza mara baada ya kuwakamata watu wanne wenye hatia ya kuiba nyaya za Umeme Mkoani humo. WAKATI Serikali ikielekeza nguvu kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na nishati ya umeme, mkoani Njombe watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi...
  11. Norway: Mauzo ya magari ya umeme yapiku yale yatumiayo petroli na dizeli

    Mauzo ya magari yanayotumia umeme yafikia 54% ya mauzo ya magari yote mapya huko nchini Norway, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kurekodi mauzo ya juu ya magari hayo dhidi ya yale yatumiayo dizeli na petroli. Serikali ya Norway ina mpango wa kukataza mauzo ya magari yatumiayo petroli na...
  12. TANESCO: Uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni

    Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme. Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 5...
  13. Inatumia dakika ngapi kupanda ghorofa 100 kwa elevator ya umeme?

    Kwa wale ambao ni malejendari wa mjini tuliozoea kupanda skyscrapers hasa za pale Manhattan New York, je inatumia dk ngapi kwa kutumia electricity elevator kupanda gorofa 100? Mimi nilikadiria dk kumi mpk 13 wewe je?
  14. N

    Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    Heri ya mwaka mpya wapendwa. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu, kuna uwezekano wa kuwekewa mita tofauti na ya Tanesco ambayo naweza nikatumia peke angu iwe kwenye frame ya biashara au nyumba ya kupanga?
  15. Hivi TANESCO hawawezi kuunda app ya kununua umeme na kuingiza?

    Ununue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
  16. Kwa sasa hivi naweza kupata nafasi chuo cha VETA Kozi ya Umeme miaka miwili Kigoma au Chato?

    Habar wana JF. Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika...
  17. K

    Kama siyo TANESCO Basi Waziri mwenye dhamana ya umeme acha kupuuza kelele za mitandao ya kijamii

    Nadhani lipo tatizo lakukatika umeme mara kwa mara hasa Dar, hii ni kwa mujibu wa wananchi wanaotumia social media. Mliopo dar mnaweza kusaidia kama Kuna ukweli ndani ya hizi habari. Lakini nichukue fursa hii kuwakumbusha Tanesco au Wizara kuchukua hatua. Kama kelele hizi zina ukweli watafute...
  18. U

    Incubator zisizotumia umeme

    Ninaomba mwenye ujuzi wa kutengeneza incubator Au kitotolesheo mayai cha asili anijuze Tafadhali,aje inbox tuyajenge
  19. Huko Moshi nasikia umeme unakatika kila mara, ni kweli?

    Wadau mliopo moshi nimezisikia izi tetesi ya kuwa umeme unakatika katika sana Moshi huko embu mtudhibitishie. Demand and Supply theory ita conclude
  20. Mgao mkali wa umeme Morogoro mjini

    TANESCO kama kuna mgao wa umeme hapa Mkoani Morogoro basi tutangazoeni tujue ili tukanunue magenereta tu. Kwa muda wa week kadhaa sasa tanesco mmekuwa mkikata umeme karibu mitaa yote kata ya kihonda. Mathalani kuanzia siku ya ijumaa ya tarehe 18.Dec.2020 kata nzima ya Kihonda haikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…