Kama Taifa tumejijengea mazoea mabaya na yanatuumiza wenyewe!
Mazoea ya kuwa maji ndio chanzo KIKUU cha umeme kwenye Taifa ndio yanatuumiza,ni nani alituloga!!?
HIVI hapa nchini maji pekee ndio chanzo cha umeme!? Ina maana ukame ukitokea tu umeme wa kipimo na hakuna namna nyingine ya kufanya...
Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao.
Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Amemteua...
ceo
gerson msigwa
hongera
katibu
maharage
mara
michezo
mkuu
mpya
msigwa
rais samia
sana
sanaa na michezo
tanesco
umeanza
umekatika
umeme
utamaduni
uteuzi mpya
vizuri
wizara ya utamaduni
Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022:
1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH
2.Pwani-635.7GWH
3.Arusha-413.9 GWH
4.Shinyanga-411.2 GWH
5.Tanga-408.7 GWH
6. Mwanza-344.5 GWH
7. Morogoro-307.5 GWH
8.Dodoma-249.3 GWH
9.Mbeya-231.5GWH
10.Mara-215.1 GWH
SERIKALI imesema hadi kufikia Desemba 2023 vijiji vyote 758 mkoani Mtwara vitakuwa vimepata umeme.
Akizungumza mkoani Mtwara, tarehe 21 Septemba, 2023, Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema katika vijiji hivyo vingi vilikuwa havina umeme, hivyo watapeleka umeme katika maeneo hayo...
Wakuu habari zenu.Mimi siyo mwanasiasa japo siasa naona inanishindisha giza na kunilaza giza.Ndani ya siku 30 nilizolipitia king'amuzi changu cha AZAM nakadiria kutumia bandle hilo kwa siku 11 tu. Siku zingine umeme hakuna.
Sijui wenzangu mnaiona hiyo hasara wanayonipatia TANESCO
Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya "upungufu wa umeme" pamoja na sababu za kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV, ulioasisiwa na hayati Magufuli.
Pia limekuja...
Nawaza tu, endapo Magufuli angekuwepo leo;
1. Train ya umeme ingekuwa inapiga kazi usiku na mchana na serikali ingianza kuingiza pesa za kutosha.
2. Bwawa la Mwl. Nyerere lingeanza kuzalisha umeme wa kutosha na leo hii stori za kukatika umeme zisingekuwepo.
3. Kalemani angekuwa Waziri wa...
Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
Tunajua kuwa Yeye na aliyeko Foreign sasa lao lilikuwa ni moja na mpaka hi Kata Washa na Washa Kata no kutokana na Upumbavu na Ufisadi wao huko Umeme Tanzania.
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamumtaki Maharage Mabovu na Kumuondoa hapo Umeme Tanzania mnamuonea Aibu hivyo sasa mnatumia Mbinu ya...
Tangu IPTL, RICHIMOND, DOWANS, PAP, Gesi ya Mtwara na migawo yote unayoijua, lakini bado tatizo halijaisha
Huu ni ushaidi wa wazi wa kushindwa kwa ccm kuwasaidia Wananchi.
Nashauri iondolewe Madarakani
Mazalishaji mkubwa wa nishati ya mafuta (Russia) kupitia Rais Putin ameelekeza kuongeza kuzuia uuzaji wa nishati ya mafuta ya petrol na diesel baada ya bei kuongezeka na kufikia Dola za Marekani 100 kwa barrel.
Kama serikali isipojipanga vizuri tutegemee maumivu makubwa siku za mbeleni.
Jisomee...
Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni.
Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike...
It's a shame! Umeme wa uhakika ndio unaleta maendeleo katika taifa lolote lile ulimwenguni, kabla ya kushughulikia na lolote lile taifa au mataifa huuimarisha umeme wake ndipo mengine hufuata, je wanazuoni wetu wameshindwa kutatua hili? Nashauri tupunguze kasi kwenye mengine na tuimarishe hili...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amesema “Tangu nimeteuliwa nimeelekezwa na viongozi wangu kuwa tufanye kila tunaloweza kuhakikisha mamivu ya mapungufu ya umeme tunayapunguza.
“Tunafahamu kuwa ukuaji wa uchumi ni mkubwa kwa watu wetu lakini vyanzo vyetu vya umeme...
Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali.
Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii?
Je, umeme huo...
TANESCO sasa hivi wanakata umeme bila ya kutoa taarifa. Halafu hakuna kiongozi anayefuatilia wala kuzungumzia ili suala.
Ingekuwa Magufuli angeenda kushuhudia mwenyewe iko kina cha maji kama kweli kiko chini. Sasa hivi hata Waziri haendi sijui kazi yake ni nini yeye anapewa taarifa kama sie na...
Yaani kwa kipindi cha miaka 4 sijawahi experience shida ya umeme iliyopo sasa. Sijawahi kumuamini bwana January lakini hata wakati akiwa waziri umeme ulikuwa haukati hivi.
Sasa hivi ni week sasa ikifika saa moja au mbili wanapita na umeme walianza wanarudisha saa 12 naona jana wamerejesha saa 2...