umeme

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kukatika kwa umeme, Bosi wa Viwanja vya Ndege afukuzwa kazi

    Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini Kenya amefutwa kazi baada ya kukatika kwa umeme na kuwaacha abiria wakiwa gizani kwa saa kadhaa katika Uwanja Mkuu wa Ndege wa Nairobi. Alex Gitari alifutwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen, ambaye ameomba radhi kwa changamoto hiyo...
  2. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Umeme haujakatika Tanzania tu siku ya leo 26/08/2022 hata kenya umekatika, ushahidi huu hapa.

    Hii ni coincidence au hii kitu ilipangwa sitaki kufikiria negative ila ukweli ndio uwo. Taarifa hizi nimezipata toka mtandao wa reddit r/kenya
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme na maji

    Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu? Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru. Hivi nikwanini huu umeme Kama...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

    Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023 Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika Mikoa mingine ni Dodoma...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maharage: Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaelekea kufikia 91%, matarajio ya kuanza kuzalisha umeme ni Juni 2024

    Sehemu ya Mradi wa JNHPP katika Tuta Kuu ambapo ujenzi unaendelea. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi na tathmini ya Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (The Julius Nyerere Hydropower Project - JNHPP) uliopo Rufiji. Akizungumza baada ya ukaguzi huo uliofanyika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO watufahamishe umeme tuutarajie lini

    Huu ni uhuni kama ulivyo mwingine tu. Mambo haya hayakutokea nchi chini ya JPM. Hivi sasa nchi yote kasoro visiwani Iko gizani. Usalama wetu majumbani, vilivyoko kwenye majokofu, uzalishaji mali wenye kutegemea umeme, Simu zetu kuwasiliana na wapendwa nk nani anawajibika. Hii haikubaliki Kwa...
  7. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ninapata tabu kuamini kama Megawat 268 zinafanya karibu nchi nzima isiwe na umeme

    Nimeona taarifa ya Tanesco kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo chake cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo na kusababisha upungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kwenye mfumo, hivyo baadhi ya maeneo kwenye mikoa yanakosa umeme nyakati tofauti. Nimempigia...
  8. HIMARS

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...
  9. Exile

    JamiiForums Tanzania Ulipo kuna umeme muda huu?

    Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata. Je ulipo wewe umeme upo? Pia soma; https://www.jamiiforums.com/threads/tanesco-umeme-hautakuwepo-baada-ya-hitilafu-ubungo-2.2131550/
  10. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu Umeme na Electronics, Msaada wenu hapa wa hiki ki redio

    Wakuu habari ya nyie, kuna hiki ki redio nimeombwa msaada hapa kukirekebisha, kina shida moja. Waya ule wa speaker vile vidogo (Sijui ndo wanaviita twitter), pale kwenye ki tobo unapoingia kimekufa, sasa nafikilia hivi inawezakana nikauchukua na kuunga kwenye ule mwingine, tobo lililokufa ni...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

    Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi. Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme

    Habari wadau, Tunatoa huduma za ufundi umeme na solar, . wirring aina zote . maintenance ya wirring zote . security system (CCTV) .water pump . Street light N.k Tunapatikana Iringa Mjini Call: 0678019417 Pia tunatoa huduma ya kufunga submiter zinazokata umeme kwa bei poa kbsa
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

    ========================== Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa la Nyerere na kuingizwa kwenye Gridi bado eti umeme hautashuka bei, nimekuwa nikiwaza sana...
  14. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Tanzania Ina upungufu wa umeme, lakini tunakwenda kujenga power plant ya 20 megawatts Uganda

    Hii ni kitu gani? --- I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

    Tanzania na Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu zimetiliana Saini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 30 sawa na shilingi bilioni 70 za Tanzania kwa ajili ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Msongo wa kV 220 kutoka Benaco hadi Kyaka na Upanuzi wa Kituo...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Iringa: Mzee Kiyeyeu alizikwa na mtu aliye hai na kaburi lake lilizuia umeme wa TANESCO kuwaka

    Kando ya barabara ya Iringa - Mbeya maeneo ya Njia panda ya Mlolo kuna Kaburi la mtu aliyekuwa maarufu katika fani ya Uganga wa jadi mkoani Iringa na alifahamika kama Mzee Martin Kiyeyeu. Inaelezwa mzee huyu alifariki mwaka 1974 na kuzikwa lakini muonekano wa Kaburi hilo ni kama alizikwa hivi...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

    Nigeria imezima umeme iliokuwa inapeleka nchini Niger ikiwa ni sehemu ya vikwazo vya ECOWAS kupinga mapinduzi ya kijeshi. Kwa mujibu wa AFP, asilimia 70 ya umeme unaotumika Niger unatoka nchini Nigeria. Chanza: swahilitimes
  18. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pressure cooker la umeme

    Dunia inarahisisha mambo! Sasa unaweza pika chakula chochote Kwa haraka na gharama nafuu sana kuitumia pressure cooker ya kisasa. Pika Maharage, mboga na nyama aina zote Kwa haraka na gharama nafuu sana. Ni rahisi kutumia na salama zaidi. Bei ni 95,000Tsh Call 0788622610 Tupo Aggrey/Ndanda...
  19. Exile

    JamiiForums Tanzania Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

    Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500. Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme likikamilika sitegemei Dar iwe na barabara za giza hata kwa bahati mbaya

    Kwa sasa Tanganyika inatumia Takriban Megawatt 1,500 za umeme, ukijumlisha na zile Megawatt 100 wanazopewa bure wala urojo inakuwa MW 1,600. Bwawa la Nyerere likikamilika litazalisha Megawatt 2,100, na kufanya jumla ya Megawatt kwenye Gridi ya Tanganyika kuwa 3,700. Kwakuwa umeme unaozalishwa...
Back
Top Bottom