INAUZWA Mashine ya Diagnosis ya gari zote(Ndogo, Kubwa, mitambo, gari za umeme)

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro

Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine,

Special functions zaidi ya 30

Active test

Immobilizer and Key Programming

Bidirectional

Ni adpapter tu, unaweza kutumia na simu yako au ukanunua tablet.

Software yake ni 500,000 kwa mwaka(Hapo utapata software za gari zote ndogo, malori yote mpaka ya kichina, mitambo yote, gari za umeme kama Tesla, BYD n.k.)

Bei milioni na nusu ikiwa na software zote ambazo nimezitaja hapo juu kwa mwaka mmoja.

Mashine ni mpya haijaanza kutumika.

Kama uko interested tutumie message whatsapp +255 688 758 625/+255621221606
 
020231012_150444_lmc_8.4.NIGHT.jpg
 
Good , sasa hivi nimeweka uzi nikiulizia kifaacha hicho. Kuna mtu kaniambia kinaitwa Ignition machine??? spelling??? (ndiyo nikaja kuomba ufafnuzi hapa). Kaniambia bei yake ni 300,000. Is this true?
 
Unaulizia kifaa gani mkuu?
 
Nissan serena c23 1992 capacity 1998cc. Taa zote zinawaka dashboard. Ilizima ghafla... inawaka lakini haishiki kasi uki accelerate,,,kama inakata uki-accelerate
Pole sana mkuu. Mashine nyingi za diagnosis ni OBD-2 yaani ni kwa ajili ya magari ya kuanzia mwaka 1996 na kuendelea. Hiyo ya 1992 itahitaji OBD-I diagnosis machine.
 
where do i get it please
 
Pole sana mkuu. Mashine nyingi za diagnosis ni OBD-2 yaani ni kwa ajili ya magari ya kuanzia mwaka 1996 na kuendelea. Hiyo ya 1992 itahitaji OBD-I diagnosis machine.
Dah sikuwa nimeona huo mwaka wa gari, OBD I nissan sijawahi kupima zimeshanitoa Knock out mara kadhaa kwanza sina hata cable yake.
 
Back
Top Bottom