Biashara ya nguzo za umeme za Miti

Biashara ambayo mteja ni mmoja tu tena shirika la uma ni ngumu sana maana inakua controlled na sera ya wakati huo na mara nyingi kabla ya kupata hiyo connection ya kusupply product tayari wahusika wenyewe washapeana mchongo
Mwaka 2015 nilikuja na idea ya kutengenezea nguzo za udongo (ceramics) na za zege (concrete) na ndo research yangu ya Masters ililala hapo. Chuo wakaipenda na nikaanza kuzunguka nayo kwenye maonesho sijui ya vyuo vikuu/ tcu, sabasaba sijui nini... oooh nakuja kumaliza Chuo watu washafungua kiwanda Bagamoyo huko na sasa ndo zilizoko sokoni
Anyways point yangu hapa ni kwamba biashara kama hiyo inaendana na sera ya wakati huo, mbaya zaidi mteja ni mmoja na ni ngumu kupewa tenda kama hiyo kama uko nje ya mfumo. Currently kampeni ni nguzo za zege hizo za miti zinaondolewa taratibu na hata zingekua bado zipo wenzako hua wanazifata south Africa ya pale Mafinga
 
Umenena vyema.....
 
Labda kama ana miti ya milingoti atengeze fremu nzuri za mlango au madirisha nasikia haziliwi na wadudu
 
Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
Ni biashara inalipa ila udhrumaji ni mwingi hasa hayo makampuni yanayoprocess hizo nguzo hayalipi kwa wakati kuna watu hawajalipwa fadha zao mwaka wa nne huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom