umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? Ni kwa jinsi gani ‘kijiji cha kwanza cha China katika kupambana na umaskini’ kilivyofanikiwa?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? ------Ni kwa jinsi gani ‘kijiji cha kwanza cha China katika kupambana na umaskini’ kilivyofanikiwa? Na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? ------mama mkulima wa China aondokana na umaskini kwa kutengeneza fagio la mabua ya mtama Na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa China”...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? -------usawa wa kijinsia katika elimu ni muhimu kufanya umaskini ‘kutorithiwa’. na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa China”. Waraka huo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwahi kuuishi umaskini na kuwa kiongozi bora wa kuwaongoza watu kuondokana na umaskini?

    Mara kadhaa nawasikia viongozi wetu wakitamba kwamba wameuishi umaskini wa watanzania hivyo wanajua cha kufanya ili kuwatoa watanzania kwenye huo umaskini. Ndipo najiuliza kwani aliekulia maisha ya kitajiri hawezi kuwaongoza watanzania kujiapatia maendeleo?
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango kama hutawasaidia Watanzania masikini kuondokana na umasikini, uteuzi wako utakuwa hauna tija kwa Taifa

    Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi. Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini mwaka jana uliamua kwenda kugombea huko kwenu Kigoma na ukachaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu kuwa Umaskini ni jambo la Kujivunia. Jaribu utajiri uone raha yake

    Ni kweli hamuwezi wote kuwa matajiri. Sisi wengine tunakuwa tuna wawakilisha ninyi ambao bado hamjafanikiwa kuzipata. Utajiri wako uwe wa furaha na amani. Usiibe, Usidhurumu, Usipate kwa Waganga. Pata mali halali. Maskini hana Raha mchana wala Usiku. Mchana Nzi usiku Mbu. Hamna jema maskini...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Huu umaskini ni wa kutisha

    Habari za mchana ndugu zangu, Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha. Mume akadai chumba hajakipenda wakaondoka baada ya week akarudi tena, kile chumba kikawa kimepata mteja tukamuonesha chumba...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ofisi za serikali acheni roho mbaya

    Mwaka huu nilikua nafatilia maswala ya mirath ya mzee, so ilinifanya nikatembelea ofisi nyingi za kiserikali. Kwa kawaida ukiwa unafatilia mirathi hizi ofisi lazima ufike zote au chache: Mtendaji Vizazi na vifo Mahakama ya mwanzo Mahakama kuu Bank PSSF Na nyingine ambazo inategemea carrier ya...
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za Matajiri wa viwanda wanavyoturudisha kwenye umaskini baada ya kulindwa Na sera za biashara kukosa ushindani

    Wana jf Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kutokomeza umaskini ni matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa

    Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo. Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Habari wadau.. January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo. Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha umasikini na ufukara wa Waafrika?

    Tuache masihara ndugu zangu, Waafrika wengi ni maakini na wengine ni mafukara. Achana na media ambazo zimejaa picha za vijana wa Kiafrika wanaopiga picha kwenye malls kubwa na maofisini. Ukirudi nyuma kutazama uhalisia utagundua kuwa Afrika imegubikwa na ufukara mkuu. Malazi duni, mavazi...
  13. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli umasikini ni kurithi au ni kujiendekeza?

    Kwa muda sasa natafakari kuhusu umaskini wa mtu mpaka kufikia mda mtu anashindwa kutekeleza baadhi ya mambo. Yote ya yote umaskini ni naouona kama ulemavu wa akili kwani unashindwa kujituma na kujikomboa binafsi huu ni ugonjwa wa watu wa Afrika na kupenda shortcut way kijana unabidi upambane...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

    Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania. Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia. Wenzetu Wahindi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi waandamizi jifunzeni kujitegemea, mnawatesa wasaidizi wenu kuwatumikisha kinyume na kazi zao

    Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine. Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Ukiendelea kuhonga utabaki kwenye duara la umaskini wewe na familia yako yote

    Habari za Leo wakuu. Kuna ujinga fulani ulisha waingia wanaume, wakifanikiwa tu huwa hawakumbuki watu waliowasomesha au kuwapa mitaji. Wengine walisomeshwa ili wazikomboe familia zao lakini wakisha kamatwa masikio na wanawake basi humalizia mishahara yao yote, mitaji yao yote na faida zao...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

    Habarini wakuu! Leo ngoja niandike kitu ambacho huenda kitaamsha ari ya viongozi wetu. Binafsi mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma(Myao) ila nimekulia na kuzaliwa Liwale (Lindi). Ulinzi wa hifadhi ile hasa kipindi cha masika ulikuwa duni. Hii ilisababishwa na poor infrastructure (barabara)...
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Lengo sawa la kuondokana na umaskini, ila njia tofauti za kuondoa umaskini

    Hakuna nchi hata moja inayopenda kuwa masikini duniani, lakini tatizo kubwa linakuja kwenye kujua mbinu gani zitumike ili kuhakikisha umasikini huu unatokomezwa kabisa. China ilikuwa na ndoto ya kutokomeza umasikini tangu kilipoasisiwa chama cha Kikomunisti cha China mwaka 1949. Ingawaje kasi ya...
  19. share

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwelekeo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu umedhihirisha umaskini mkubwa uliozalishwa nchini ndani ya miaka 5 ya utawala huu

    Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano. Taifa limeshuhudia wagombea urais kushindwa kufanya kampeni kwa kukosa fedha, kushindwa kuandaa mabango kwa...
  20. Thailand

    JamiiForums Tanzania Tanzania upole na unafiki wetu ndiyo sababu ya Umaskini wetu

    Ndugu zangu miaka ya 1960s kipindi tunapata uhuru wetu, Uchumi wetu in terms of GNP tulikuwa sawa kabisa na nchi kama Vietnam, Thailand, Singapore, Malysia, Uchina na Korea Kusini. Kwa kipindi chote hicho hakuna chama chochote cha upinzani kilichoingia madarakani na either tukakitupia lawama...
Back
Top Bottom