umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kiapo: Nitafanya lolote ili niondokane na umaskini

    Zamani nikiwa mwinjilisti mdogo niliyejaa moto nilisema kuwa matatizo makuu yanayowakabili wanadamu wa kizazi cha leo ni matatu; Dhambi, umaskini na magonjwa. Sasa hivi nimegundua kuwa ile arrangement yangu haikuwa sahihi na kwamba natakiwa niyapange hivi ; 1.Umaskini 2.Magonjwa na 3.Dhambi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Waafrika tumepitia taabu nyingi kuanzia Utumwa, ukoloni, magonjwa na umaskini tukashinda hata Corona haitatuweza

    Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma. Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania...
  3. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Dkt. Albina Chuwa, Kauli yako kuhusu kupungua kwa umaskini ni kejeli kwa Watanzania

    Amesema Dkt Albina Chuwa Mkurugenzi wa Takwimu. ameyaongea juzi tarehe 17/ 02/ 2020, Ninamnukuu; “Hali ya umaskini wa kipato hapa nchini Mwaka 1991-92 ulikuwa Asilimia 39, 2007 umaskini ulikuwa asilimia 34, 2012 Asilimia 28.4 na 2018 hali ya umaskini likuwa 26.4, kasi ya kupungua umaskini hapa...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kaya hata moja hapa nchini iliyoondokana na umaskini kupitia TASAF, basi nipigwe radi!

    Literally nashindwa kuona how a sane person anaweza kuamini kwamba kumpa mtu shs. 2,000= , 3,000/= nk. kwa mwezi inaweza kumuondolea umasikini huyo mpokeaji wa hizo monthly handouts, nisaidieni, how mtu huyu anaondokana na umasikini? HOW? Lengo la TASAF ni nini hasa?
  5. dubu

    JamiiForums Tanzania TASAF: Hali ya Umaskini Tanzania yapungua, Makonda atakiwa kurejesha fedha za TASAF kama alizitumia

    Imeelezwa kuwa takwimu za hali ya umaskini wa kipato hapa nchini kwa mwaka 2017, zimepungua kwa kiasi kikubwa na kufikia asilimia 26. Hayo yamebainishwa leo Februari 17, 2020 na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt Albina Chuwa na kusema kuwa jukumu la kuondoa umaskini kwa...
  6. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Je, HESLB ina mchango katika kutokomeza umaskini?

    Wanabodi, poleni na majukumu pamoja na misiba iliyowakuta wenzetu wa moshi baada ya kukanyagana wakati wakati wakikanyaga mafuta ya upako chini ya neno la unabii kutoka kwa mtumishi mwamposa mnamo 01.02.2020 Pili, naendelea kupongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kuongeza utoaji wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ujinga, Umaskini na Maradhi ni mtaji mkuu wa wanasiasa wa Tanzania

    Nimesikitika sana kuona kuwa katika maadui wakuu wa tangu kale 1. Ujinga 2. Umaskini 3. Maradhi Kwa WANASIASA wa leo hao ndio marafiki wao wakuu katika kutimiza agenda zao na uovu wao. 1. UJINGA Tunawekeza kwenye ujinga wa watu wetu. Kama sio ujinga wa watu wetu VIONGOZI wetu...
  8. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jangwa la Sahara ni chanzo cha umasikini Tanzania

    Hongereni kwa kuvuka mwaka wanajamii. Hii hali ya kushindwa kukidhi mahitaji muhimu kwa binadamu imekuwa ikusumbua sana nchi maarufu zipatikanazo CHINI YA JANGWA SAHARA. Hali hii sasa inafafanuliwa kama hali ya kuishi chini ya dola moja na umoja wa mataifa hii hali ni umaskini. Kumekuwa na...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Je, WanaDRC wamtumainie Rais Tshisekedi kwenye hili?

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amehidi wananchi wake kuwa yuko tayari kupambana dhidi ya umaskini uliokithiri nchini humo. Rais Tshisekedi ameahidi kuwaondoa raia milioni 20 wa Congo kutoka kwenye umaskini au umaskini uliokithiri katika miaka mitano ijayo na kwamba...
Back
Top Bottom