umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwanini umaskini na ujinga huenda pamoja?

    Wakati ambapo unawaza namna gani ujikwamue kutoka kwenye umaskini; kuna mwingine anawaza namna gani azidi kukukandamiza kutokana na umaskini wako! Hoja ya maskini mara nyingi huonekana kama ni malalamiko yasiyo na maana. Na hutafutiwa majibu ili kudhoofisha hoja hizo. Maskini (iwe ni mtu...
  2. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa nchi yetu nani alaumiwe?

    Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea. Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada. Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu? Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule...
  3. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kodi nyingi ndani ya taifa bila malengo maalum ni chanzo cha umaskini

    Utangulizi Taifa letu ni miongoni kati ya nchi zinazo toza kodi kwenye biashara, uwekezaji na ajira. ikiwa na maana ya kwamba ni mpango endelevu utakao saidia kutatua changamoto mbalimbali za wananchi kupitia kwenye elimu, siasa, kilimo, sayansi na teknolojia. Kodi zinafaida na hasara, sheria...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Umasikini, mateso, wizi, mikanganyiko na unyanyasaji vinatokea CCM ikiwa Madarakani

    Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwatangazia watanganyika kwamba nchi yao ilikuwa na maadui watatu ambao ni Umaskini, maradhi na ujinga. Ili kuyaondoa hayo mambo matatu, pia Mwalimu akasema kuwa tunahitaji watu, Ardhi, siasa safi na Uongozi bora. Tangu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naingia kulima kahawa Makete

    Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Kula dagaa ni umaskini au maharage, sasa mbona bei iko juu?

    Maharage kilo 2800 Dagaa kilo 8000 Sasa kwanini ukila unaonekana hohehahe?
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Tanzania hatubadilishi Menu? Ni umaskini au ukosefu wa ubunifu!

    Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa watu wengi hapa nchini umesababishwa na ujinga au upumbavu

    Habari! Samahani kama haya maneno "ujinga na upumbavu " vitakukwaza. UJINGA ni hali ya mtu kukosa ujuzi, elimu au taarifa fulani muhimu ambayo ingemsaidia kutatua changamoto za kwake au za jamii yake. Huku UPUMBAVU ni hali ya mtu kushindwa kutumia elimu, maarifa au ujuzi aliona ili kutatua...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi ni mzizi wa umaskini wa Wamarekani wenye asili ya Afrika

    Katika sehemu ya mashariki ya mji wa Detroit nchini Marekani, kupitia picha za satelaiti, tunaweza kuona ukuta unaotoka kaskazini hadi kusini na kupitia mitaa minne, ambapo umetenganisha sehemu ya watu weupe na sehemu ya watu weusi. Katika nchi hii ambayo siku zote inadai kutetea haki na usawa...
  10. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    Familia yetu yote hakuna mwenye unafuu wa kiuchumi. Nikaangazia macho ndugu wa baba na mama, na wao wote ni masikini sana. Nikafuatilia historia ya mababu na wao walikuwa mafukara kabisa. Nina shahada ya kwanza ila ninakaribia kumaliza mwaka tangu nimalize chuo lakini sijawahi kuifanyia kazi...
  11. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa tabaka la chini wazidi kuonewa na umasikini uliokithiri, huku Viongozi wakiendelea kuishi kihafahari kupitia kodi za walala hoi

    Mazingira ya tulipotokea yanachangia tunapoishia lakini kuna watu wana roho mbaya. Uwezi zuia tamaa za watu wote kwenye nchi ya watu takribani million 50-60 mtu anaekupa hiyo kazi anakuonea. Lakini wewe kiongozi kwenye nchi ya watu maskini kwa mshahara wako na posho ni zaidi ya millioni kumi...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni heri ununue kitu cha gharama ndogo sawa na pesa yako kuliko kununua kitu mikononi mwa mtu. Unaualika umaskini ukutawale zaidi

    Habari! Nimejisikia kutoa ushauri katika jambo hili la kiuchumi. Kutokana na hali za maisha watu hujikuta wakinunua vitu vilivyotumika almaarufu used. Vitu kama sofa, simu, computer, baiskeli, gari, pikipiki n.k ili tu waendane na wakati au waendane na marafiki zao. Kwa kufanya hivyo hutatui...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekaaje Watanzania wengi kuwasilisha kuuza figo zao Muhimbili kisa umaskini?

    Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi. Tatizo nini haswa?
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau, Hali ya bara ya Ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti. Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Viongozi wa Uganda na China wajadili ajenda mpya ya kutokomeza umaskini

    Rais wa Uganda amekaribisha mpango mpya wa maendeleo wa China katika bara la Afrika ambapo Uganda ni miongoni mwa nchi zilizopangwa kunufaika nao Rais huyo, ambaye alikutana na ujumbe wa China katika Ikulu Ijumaa, alitaja maeneo mawili muhimu ya Uganda ambayo ni kutokomeza umaskini na kuhamisha...
  16. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Michango makanisani chanzo umaskini

    Hivi ushawahi kujiuliza kwanini siku hizi michango makanisani imekuwa mingi kuliko miaka ya zamani ?? Siku hizi kumekuwa na michango mingi sana makanisani kiasi kwamba hupelekea baadhi ya waumini kuacha kuhudhuria makanisani kwaajiri ya ibada Halafu Kuna tabia moja imezuka kwamba inapotokea...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Umaskini Tanzania, wengi hawajahi kulala peke yao kitandani

    Hili swala ingawaje linaweza kuonekana halina maana lkn nimelifikiria sana, wengi wetu Tanzania tangia tuzaliwe hadi tunakuwa watu wazima hatujawahi kulalia kitanda peke yetu bila ya kushare na mdogo/kaka, ndugu au hata jamii. Kuna watu mara ya kwanza analalia kitanda peke yake ukubwani tena...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na umaskini ni kama mafuta na maji, umaskini ni sumu ya demokrasia

    Bila kuuondoa umaskini ni vigumu sana kusimika demokrasia. Nchi zote zenye demokrasia iliyoshamiri zimefika hapo baada ya kupiga hatua kubwa kuuondoa umaskini. Mambo matano ya yanayofanya umaskini kwa sumu kwa demokrasia ni; 1. Umaskini unadumuza kwa kiasi kikubwa uwezo wa raia kufikiri na...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania Wanaotathimini Umaskini Mkoa wa Kagera waongo. Ukikusanya nyumba zote zilizojengwa mwaka 2015-2021 unapata mji wa Arusha

    Wana Jf Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana...
  20. P

    JamiiForums Tanzania KWA PAMOJA TUUTOKOMEZE UMASKINI.

    Kwanza kabisa, ninapenda kuihasa jamii kuhusu suala la kufanya kazi (kujishughulisha), ili iweze kuondokana na Uzembe na Umaskini. Pia Wazazi au walezi, wanapaswa kuwafunza vijana wao namna ya kuweza kuyakabili Maisha wakiwa Shule au hata nje ya shule, ili hata wanapohitimu wawe tayari...
Back
Top Bottom