Nchi za Ulaya zinaonekana kupigwa na wimbi la pili la #CoronaVirus kutokana na kurekodi maambukizi mapya makubwa ndani ya muda mfupi
Wataalamu bado wanashuku kutangaza kuwa hilo ni wimbi la pili la #CoronaVirus. Mtaalamu wa Virusi, Margarita del Val anasema inawezekana kuwa ikawa ni wimbi la...