Uchaguzi 2020 Mara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,789
11,930
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Mara una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni


Bunda Mjini:
Robert Maboto(CCM) - Kura 31,129
Ester Bulaya (CHADEMA) - Kura 13,258

Bunda Vijijini:
Boniface Getere (CCM)

Tarime Vijijini:
Mwita Waitara(CCM) - Kura 35,758
Heche John(CHADEMA) - Kura 18,757

Tarime Mjini:
Michael Kembaki(CCM) - Kura 18,235
Esther Matiko(CHADEMA) - Kura 10,873

Serengeti:
Amsabi Mrimi (CCM) - Kura 47,499
Catherine Ruge (Chadema) - Kura 19,347 za

Butiama:
SAGINI JUMANNE ABDALLAH - Amepita bila kupingwa

Musoma Vijijini:
Prof. Sospeter Muhongo (CCM)

Mwibara:
Charles Kajege (CCM)

Rorya:
Jafari Chege (CCM) - Kura - Kura 53,739
Ezekia Wenje (CHADEMA) - Kura 28,168

Musoma Mjini:
Vedastus Mathayo (CCM) - Kura 23,719
Julius Mwita (CHADEMA) - Kura 19,882

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Mungu Baba ninatubu kwa dhambi zangu na taifa letu Tz, tuonee huruma, tujalie hekima na busara tukafanye wajibu wetu kupiga, kuhesabu, kutangaza matokeo kura itakayo leta HAKI na ustawi wa taifa letu.

Amina
 
Matiko.jpg

Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kwa tiketi CHADEMA, Esther Matiko akipiga kura katika eneo la Magereza Tarime mjini​
 
Sasa mnapigia wapinzani mnategemea wawaletee maendeleo kaeni na ujinga wenyu mtakoma. Waliokwishashtuka wamempigia buldozer hata kama hulipendi ila ndo lenye funguo za maendeleo yako
Kuna majimbo yameichagua CCM kwa miaka 60 sasa na yana hali mbaya una maoni gani? Je ni sababu gani imepelekea wakose maendeleo ilihali ni CCM?

Kingine mbona akiwa Kigoma alidai Dar imependeza ingawa ilimkataa, kadai pia maendeleo ya kigoma mjini ni yye kapeleka ingawa ni kwa upinzani. Kauli ipi ni ya kweli?

Maendeleo yana chama au hayana?
 
Back
Top Bottom