S Sexless JF-Expert Member Mar 11, 2017 21,567 50,393 Oct 15, 2020 #1 Angalia jinsi jiji la DSM linavyopendeza kwa Sasa.
Kertel JF-Expert Member May 11, 2012 5,267 4,972 Oct 16, 2020 #3 Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa ufumbuzi huu,umesaidia kuondoa joto jijini
S Sexless JF-Expert Member Mar 11, 2017 21,567 50,393 Oct 16, 2020 Thread starter #4 Kertel said: Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa ufumbuzi huu,umesaidia kuondoa joto jijini Click to expand... Tanzania ya sasa ina wakawaka mama.....(Zuchu/Chuchu)
Kertel said: Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa ufumbuzi huu,umesaidia kuondoa joto jijini Click to expand... Tanzania ya sasa ina wakawaka mama.....(Zuchu/Chuchu)
M mama kubwa JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,411 8,394 Oct 16, 2020 #5 Bora jua literemke likaushe maji.
3 Angels message JF-Expert Member Aug 3, 2017 4,876 13,549 Oct 16, 2020 #6 Tunashukuru kwa kuletewa swimming pool kila sehemu