Mambo ya Ulaya bhana. Willow Smith ampongeza mamake kwa kuchepuka

Amri97

Member
Sep 11, 2020
87
96
Willow Smith ambaye ni mtoto wa kike wa star wa filamu Marekani Will Smith (52) amempongeza mama yake mzazi Jada Pinkett (49) kwa kumwambia ukweli baba yake mbele ya TV Show yao ya " Red Table Talk" kama alichepuka na mwanaume mwingine ambaye ni mwanamuziki August Alsina (28).
 
Will smith kosa alilofanya Ni kumpenda sana mke wake.
Siyo yeye tu mkuu hili janga la “bila wewe mimi siyo kitu” linawaumiza sana wanaume wengi.

Huko nyumbani naishi na mke nachojua mimi namjali na kumuheshimu kwa nafasi yake kwa yale aliyonifanyia ila ukiniuliza kama nampenda kwa kiwango gani hilo sijui wala sijawahi kuzingatia mie naangalia heshima tu.
 
dawa ni kunyamaza tu mtu asijue msimamo wako ,hiyo huwa inatesa sana ukianza revenge inaonyesha una stress na umeumia sana
Kwamba mkewe nae alikuwa ni kicheche jamaa analipiza ama?
 
Kuna rafiki yang Mzungu(ke) wa Massachusetts Alinambia yeye kaolewa OPEN MARRIAGE Ndoa ya Wazi Wote wako free kuwa na Wapenzi wengine

Wazungu wanaishi maisha tofaut sana na Sisi, Hilo swala kwao sio mpango kabisa kawaida tuu
 
huyu mke wake alikuwa demu wa 2pac ,2pac alipofariki ndo will smith akamchukua ,lakini walikuwa wakigombana mda wote kwamba dem bado hajamtoa 2PAC moyoni mda wote anamwaza na kumrefer back .

Kwahiyo manzi kawa na jamaa kwa ajili ya ustar tu
Shit usikute pisi inamcheat jamaa haiwezekani imlipue namna hiyo
 
huyu mke wake alikuwa demu wa 2pac ,2pac alipofariki ndo will smith akamchukua ,lakini walikuwa wakigombana mda wote kwamba dem bado hajamtoa 2PAC moyoni mda wote anamwaza na kumrefer back .

Kwahiyo manzi kawa na jamaa kwa ajili ya ustar tu

Jada ni aina ya mwanamke anaependa thug life, thug love and all stuffs like that, sasa kakutana na Will Mzee wa kupenda sana kazi kujiliza liza tu, nahisi anammiss sana 2pac huko alipo, haya mambo ya "Entanglement" Will ndio wa kulaumiwa, mwanamke sio kumjali sana na kumpenda kama Mungu, Itoshe tu kusema ni ufala kumuonesha mwanamke kuwa huwezi ishi bila yeye, narudia tena ni ufala wa kiwango cha lami.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Willow Smith ambaye ni mtoto wa kike wa star wa filamu Marekani Will Smith (52) amempongeza mama yake mzazi Jada Pinkett (49) kwa kumwambia ukweli baba yake mbele ya TV Show yao ya " Red Table Talk" kama alichepuka na mwanaume mwingine ambaye ni mwanamuziki August Alsina (28).
Hivi Willow ni mtoto wa kike au sijaelewa hapo
 
Entanglement.
IMG_20201007_092201.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jada ni aina ya mwanamke anaependa thug life, thug love and all stuffs like that, sasa kakutana na Will Mzee wa kupenda sana kazi kujiliza liza tu, nahisi anammiss sana 2pac huko alipo, haya mambo ya "Entanglement" Will ndio wa kulaumiwa, mwanamke sio kumjali sana na kumpenda kama Mungu, Itoshe tu kusema ni ufala kumuonesha mwanamke kuwa huwezi ishi bila yeye, narudia tena ni ufala wa kiwango cha lami.

Let's meet at the top, cheers 🍻
jamaa alishamfukuzia dem akiwa na 2pac akashindwa kumng'oa ,sasa pac alipofariki ndo kampata ndo alikokosea
 
Back
Top Bottom