fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Hilo lipo wazi, ukiangalia ulaya ulivyo unaweza ukastaajabu na kujiuliza tunakosea wapi. Designers wetu wa miundombinu na mipango miji sielewi huwa wanatoa wapi mifano ya kazi zao.
Hapa chini ni highway za uholanzi,unaweza kuota kuna gap kubwa saana kati ya commuters wanaoenda na wanaorudi tofauti na barabara zetu ambazo tunapishana kiasi kwamba ukikosea kidogo tuu umemgonga mwenzio au kuondoka na site mirrors zake.
Pia hamna ule msongamano wa makazi ya watu wanaosogea barabarani mathalan chalinze pale,yani barabara zimeachwa zipumue.Kwa design hii kweli ajali ya kugongana uso kwa uso au kisa overtaking zitoke wapi?
Tunashindwa nini kufanya barabara zetu ziwe hivi??IShu sio tuu kuwa na barabara za lami bali barabara zenye hadhi na viwango vya kimataifa ili tusirudi tena kuyafanyia matengenezo kila baada ya mda mfupi.
Hapa ni marekani,angalia barabara ilivyoachwa ipumue,lakini pia angalia intersections zimejengwa mpaka huko interior ili tuu kufanya usafiri uwe salama zaidi.Tunashindwa nini kufanya barabara zetu ziwe hivi hata huko mikoani penye sehemu nyingi tuu za intersection?
Lakini cha mwisho tuangalie makazi yao hao tunaotaka kuwa kama wao ndani ya miaka mitano ijayo. Kuna nafasi kubwa kati ya barabara na nyumba na pia kuna lane kwa ajili ya waenda kwa miguu. Huku kwetu inapoishia ukuta wa nyumba ndo inapoanzia barabara kiasi kwamba ni rahisi watoto wa mtaa huo au hata wapita njia kugongwa na gari au pikipiki. Pia ni kuchafu hatari,taka zimetupwa hovyo,nnzi kila sehemu, hamna hata dustbin mtaani,makelele ndo usiseme.
Sijaelewa kwa nini designs za miji kama dodoma na kwingineko walifeli kuweka design kama hizi kwenye makazi ya watu.