Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Augustino Chiwinga
0756810804.

Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.

Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.

Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.

Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.

Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.

Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.

Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.

Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.

Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.

Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
 
Hivi hamna neno lingine la kutumia badala ya mabeberu.

Kuwaita mabeberu ni neno la kutudhalilisha wenyewe.

Navyomjua beberu wa mbuzi anavyowatafuna majike ya mbuzi kwa nguvu na bila huruma, mnataka kusema wazungu wanatufanya kama beberu anavyowafanya majike?
 
Back
Top Bottom