ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Carleen

    JamiiForums Tanzania Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

    Hi guys, Nipo tu hapa najiuliza ni kwanini asilimia kubwa ya wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweli?? Ukitaka ugombane na mtu sahii njia rahisi ni 'pesa' na 'kumchana' Yaani kumuambia mtu ukweli kuna uhusiano gani na chuki? Maana the moment umemchana tu mtu kuwa amezingua kwenye issue flani...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haijawahi kufuata Ilani yake wala katiba ya nchi kwa miaka 5

    Wasalaam, Naomba niweke wazi ukweli halisi bila ushabiki wa kisiasa chama chetu cha mapinduzi mwaka 2015 walikuja na ilani nzuri na ya kupendeza Wakati wa kampeni, baada ya kushinda uchaguzi bwana yule alitupilia mbali ilani ile na kifanya jinsi alivyoona yeye inafaa na jinsi alivyotaka yeye...
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati

    CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati. Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa, wamechoka na uhuni huu. Kwa wale ambao tunajua jinsi ambavyo mataifa mengi barani Africa yaliingia kwenye matatizo mazito sana, tuwaomba washauri wa Rais...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Madereva / Waendesha 'Magari' hii 'Kitu' nimeisikia sana tu 'Kijiweni School' je, ina Ukweli wowote ule labda?

    Kwamba eti ukiwa unaendesha Gari, umebeba Watu/ Abiria na uko mwendo mkali sana ( bati kinoma ) kisha ukaona Mtu anakatisha mbele yako iwe kwa Miguu au akiwa katika Baiskeli au Pikipiki 'Sheria' inakuruhusu kuwa kuliko 'Kujihatarishia' Maisha yako na ya wale 'uliowabeba' basi 'uwagonge' na...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

    UTANGULIZI Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa nisikufiche si Mimi tu ambaye ni mwana CCM nakiri na kulisema hili ila nina uhakika hata wana CCM...
  7. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza fomu?

    Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni kama mtihani fulani hivi kwamba mtu akikosea kujaza FOMU anaondolewa kwenye nafasi ya kugombea? Kwa...
  8. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwaheri vita dhidi ya rushwa, Kwaheri Siasa safi, kwaheri Ukweli

    Asalam, Mbiu zilipigwa, Kelele zilisikika, Wazalenda wakasema Sasa huu Ni mkuki wa mwisho kwa Adui Rushwa. Msamiati wa kukata ukatamalaki, Mwenezi Polepole akafoka, kila alipopita akaonekana mbabe, mwenye nguvu, kuliko Hata Katibu Mkuu Kakurwa Bashiru. Watia nia walimuogopa, alionekana Hana...
  9. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Ukweli kabisa maisha ni magumu

    Kuficha kusema ukweli ni ujinga na unafki. Ndani ya miaka hii 5 maisha yamekuwa magumu kupita kiasi kwa sababu ya serikali ya CCM. Wao wamehodhi madaraka wanalipana mishahara mizuri na marupurupu na kupandishana vyeo tu, pesa hakuna wamewabana watumishi wa umma hawawaongezei mishahara na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anamsaidia Rais Magufuli. Anasema ukweli ambao wana-CCM, wasaidizi, na washauri, wanaogopa kumwambia Magufuli

    Vitisho anavyopokea Tundu Lissu vinatoka kwa wasaidizi wa Rais Magufuli ambao wameshindwa kumwambia bosi wao ukweli. Wanamdanganya Rais Magufuli kuwa anatukanwa, lakini ukweli ni kwamba Tundu Lissu anasema mambo ambayo yalitakiwa yasemwe na washauri na wasaidizi wa Rais Magufuli. Rais Magufuli...
  11. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu ni balaa, anajua kuwasilisha ujumbe kwa hadhira, anajua kukera kwa kukupiga na ukweli

    Sijui Polepole wa CCM na wafuasi wake LB7 wa mitandaoni wanaweza kuja na majibu gani katika hoja hizi hapa. Watu sasa ndiyo wanaanza kupata na kuona ukweli wa upande wa pili wa shilingi wa CCM na Magufuli wao. Hiki ndicho kilichokuwa kinazuiwa na kufichwa na watawala ili wananchi wasielewe...
  12. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM hatuupendi ukweli, tusione ajabu mgombea wetu akashindwa vibaya uchaguzi huu

    Mara nyingi nimekua nikisema kuwa sisi wana CCM tumekua waoga sana wa kuusema ukweli, ipo siku tutakua kwa aibu maana tukiendelea kutegemea Polisi kama alivyowahi kutuambia Rais mstaafu awamu ya 4 Dr JK. Hivi vyombo kuna wakati vitaamua kusimamia sheria ya nchi bila kuonea mtu, siku wakichoka...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

    Hatimaye siri imefichuka baada Katibu itikadi na uenezi CCM, kuwatisha wabunge washindi wa kura za maoni, sasa wabunge hao waibuka na janjajanja wasikatwe. Mbinu inayotumiwa na mafisadi wa CCM walionunua wajumbe, ni kuwatuma wafuasi wao katika misafara ya Tundu Lissu anayesaka wadhamini...
  14. eric emanuel

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu tusua mapenee

    Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii Nikweli hizo ela wanatoa au!?
  15. eric emanuel

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhus tusua mapene

    Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii Nikweli hizo ela wanatoa au!?
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

    Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko Niende kwenye mada! Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu 1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi 2020: Tuambiane Ukweli tu, Tundu Lissu na Maalim Seif hakuna atakayekuwa Rais

    Sisi wengine tutasema ukweli hata kama ni mchungu. Tutasema tu. Hata kama nitabaki peke yangu kuusema ukweli nitasema tu Tundu Antipas Lissu - hatokuwa Rais wa Tanzania hata iweje. Hawezi apishwa kuwa Rais iwe jua iwe mvua. Seif Shariff Hamad - hatokuwa Rais wa Zanzibar hata iweje. Hawezi...
  18. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ukweli: 'Tuilete Maldives hii kwetu Tanzania!'

    Wakati nachakura chakura mitandaoni nimebahatika kupata clip kutoka kwenye Channel ya YT ya Kara and Nate. Clip inaonyesha sehemu ya kupumzika na mashamsha ya ufukweni huko Maldev. Maldev ipo bara la Asia. Clip hii inafikirisha mengi ila sehemu yenyewe inavutia kutazama na ikipendeza mmoja...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kinachoifanya ngono ionekane dili ni mavazi, lakini ukweli ngono yenyewe siyo ishu kiviiile

    Kuna Wakati mtu anakomaa kwelikweli kusaka ngono Wakati mwingine katika kusaka ngono watu hutumia pesa mingi, mda mwingi au madaraka ili kutimiza tu haja hii Lakini Ukweli ni kwamba ngono siyo ishu ngumu kupatikana namna hiyo, ngono siyo dili kiivo kiasi Cha kuzungushana na kunyanyasana na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

    Taarifa nilizozipata kutoka katika Chanzo changu 'Nyeti' zinasema kwamba kilichogundulika juu ya Sakata zima la Mchezaji Bernard Morrison ni kwamba Klabu ya Yanga 'imedanganya' kuhusu 'Mkataba' wake na kwamba hata 'Sahihi' yake pia 'imefojiwa' kinyume na Sheria. Ukweli kamili wa hili upo njiani...
Back
Top Bottom