Ukweli mchungu: CHADEMA inapoteza Tena hili la Viti maalum

fake ID

JF-Expert Member
May 19, 2014
377
500
Sisi sote ni mashahidi sakata la akina Komu, Mwambe, Lijualikali,n.k

Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina Mdee lakini baadaye "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na
"Monita" akasimama hadharani kuwa atawalinda kwa nguvu zote na anawatambua kama wabunge.

Mnadhani na kamati kuu yenu mtafanya nini?

Believe me mpaka mtu anatolewa jela na kwenda kuapa, hii mbugi ishakuwa calculated!

CHADEMA mmepoteza game, halafu huwezi jua Mdee 'iron' lady pamoja na wenzake wameahidiwa nini!

Maana kutoka kuvunjwa mkono plus kuibiwa kura halafu ghafla tu watu wanaibukia mjengoni huwezi jua.

Labda tusubiri sapraizi nyingine?


Kwa wale mlionikosoa Jana naona Sasa mmeona alichosema "monita"


 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
50,884
2,000
Hao Wasaliti kesho tunawatimua kwenye chama, na kabla hatujawatimua tunajua wataendelea kuwa bungeni kama wabunge wa mataga na wala hilo halitusumbui.
1606397514382.png
 

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,095
2,000
CHADEMA iwafukuze hao wasaliti,maana hatujui wameahidi kutenda yapi mpaka serikali na bunge wakakubali kukiuka katiba na sheria za vyama vya siasa na kutumia ubabe kuwaapisha!
 

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
9,878
2,000
Sawa,
Mambo yataendelea hatua kwa hatua. Vikwazo vingi kutoka kwa Jiwe na mawakala wake vitasaidia kuwaanika tu.
 

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,365
2,000
Chadema haipotezi ccm ndio wanapoteza maana wanapindua sheria za nchi kwa matakwa ya uongozi wa kijambazi

Toka wakina silinde hadi leo kodi za nchi zinatumika kuwaneemesha wapinzani wahamie ccm ipate uungwaji mkono ndani na nje ina maana ccm mufilisi kwisha
 

King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
772
1,000
Sisi sote ni mashahidi sakata la Akina komu, Mwambe, lijua likali,n.k

Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina mdee...
Kuna kipi kipya sasa happy mbona kila kitu kinajulikana . Mbinu za kishamba za Jiwe na genge lake .
 

sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,378
2,000
CHADEMA haina viongozi makini bali inaendeshwa na losers na negative minds waliojazana mitandaoni!
Si ajabu wakatoa uamuzi wa kuwafukuza akina Halima Mdee. Acha wakate mti walioukalia!
Chadema ina wenyewe,kama unavyosikia ACT-WAZALENDO nayo ina wenyewe.

Kwa mfano Mwami Zitto ni KIONGOZI wa Chama,yupo juu ya Mwenyekiti wa Chama.

Vilevile Chadema kuna owners ndio wenye maamuzi ya mwisho.

Huo mfumo hupo duniani sehemu nyingi,hata Umoja wa Mataifa kuna permanet members kama China,Marekani, Russia, France, Uingereza. Na kuna Temporary members kama Kenya, Tanzania, Norway n.k.

Hivyo maamuzi ya kufukuza Mdee ipo kwa wamiriki,bahati mbaya wanaozungumza kwa ukali hawana meno.
 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
13,355
2,000
Sisi sote ni mashahidi sakata la Akina komu, Mwambe, lijua likali,n.k

Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina mdee,

Lakini Baadae "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na
"Monita" akasimama hadharani kuwa atawalinda kwa nguvu zote na anawatambua kama wabunge...

Mnadhani na kamati kuu yenu mtafanya Nini?

Believe me mpaka mtu anatolewa jela na kwenda kuapa,

Hii mbugi ishakuwa calculated!

Chadema mmepoteza game,

Halafu huwezi jua mdee 'iron' lady pamoja na wenzake wameahidiwa Nini!

Maana kutoka kuvunjwa mkono plus kuibiwa Kura halafu ghafla tu watu wanaibukia mjengoni huwezi jua,
Labda tusubiri sapraizi nyingine?
Sasa wakifukuzwa uanachama watakuwa wabunge wa chama gani ?

ccm watakachokuwa wamefanikiwa ni kuua political career tu za hao kina dada siyo kingine
 

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
5,784
2,000
Wakipeleka zuio la kufukuzwa uanachama mahakamani watakua wamejifukuzisha uanachama wenyewe kwa sababu katiba ya chama katika Ibara zake ambazo zinaweza kumfukuzisha uanachama ni pamoja na kukipeleka chama mahakamani kwa ufupi jaribio lolote watalofanya kujitetea wasifukuzwe nje ya chama litakua mwisho wao ndani CHADEMA.
 

Isalia

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,153
1,500
Threads zingine ni michosho tupu, hao covid 19 hata wakiwa wabunge wa mahakama kwa chadema sio tatizo, shida ya chadema ni kuonyesha supporters wake kuwa haihusiki na haijabariki uhuni huu full stop!
Thread sio michosho hapa chadema ndio michosho hivi chama hakina wachunguzi wake mpaka inafikua wanachama 19 wanajikusanya na kufika dodoma bila uongozi kuwa na taarifa hiki chama bure kabisa
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
27,909
2,000
Wakipeleka zuio la kufukuzwa uanachama mahakamani watakua wamejifukuzisha uanachama wenyewe kwa sababu katiba ya chama katika Ibara zake ambazo zinaweza kumfukuzisha uanachama ni pamoja na kukipeleka chama mahakamani kwa ufupi jaribio lolote watalofanya kujitetea wasifukuzwe nje ya chama litakua mwisho wao ndani CHADEMA.
Atakaepeleka zuio mahakamani maybe ni speaker!
 

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
13,682
2,000
Huu mchezo unajulikana vyema na uongozi wote wa CHADEMA akiwamo Katibu Mkuu. Ilikuwa ni gia tu ya kuingilia bungeni, wala hawatafukuzwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom