ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ukweli: 'Tuilete Maldives hii kwetu Tanzania!'

    Wakati nachakura chakura mitandaoni nimebahatika kupata clip kutoka kwenye Channel ya YT ya Kara and Nate. Clip inaonyesha sehemu ya kupumzika na mashamsha ya ufukweni huko Maldev. Maldev ipo bara la Asia. Clip hii inafikirisha mengi ila sehemu yenyewe inavutia kutazama na ikipendeza mmoja...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kinachoifanya ngono ionekane dili ni mavazi, lakini ukweli ngono yenyewe siyo ishu kiviiile

    Kuna Wakati mtu anakomaa kwelikweli kusaka ngono Wakati mwingine katika kusaka ngono watu hutumia pesa mingi, mda mwingi au madaraka ili kutimiza tu haja hii Lakini Ukweli ni kwamba ngono siyo ishu ngumu kupatikana namna hiyo, ngono siyo dili kiivo kiasi Cha kuzungushana na kunyanyasana na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

    Taarifa nilizozipata kutoka katika Chanzo changu 'Nyeti' zinasema kwamba kilichogundulika juu ya Sakata zima la Mchezaji Bernard Morrison ni kwamba Klabu ya Yanga 'imedanganya' kuhusu 'Mkataba' wake na kwamba hata 'Sahihi' yake pia 'imefojiwa' kinyume na Sheria. Ukweli kamili wa hili upo njiani...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Simba haijamsajili Morisson, ukweli ni huu

    Tangu jana baada ya kuwekwa picha kwenye akaunti rasmi za klabu ya Simba zikionesha picha ya Mchezaji Benard Morrison akiwa amevaa jezi zinazovaliwa na Timu hiyo, kumezuka Sintofahamu kwa wapenzi wa Mpira Tanzania. Picha moja inaonesha kama anaandika (saini?) Na nyingine kama mtu anayeweka dole...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ni rahisi zaidi kwa CCM kuachana na Rushwa kuliko wapinzani kuweka mgombea mmoja kwa Rais na Mbunge

    Pamoja na ukweli kwamba kwa upande wa CCM rushwa kwenye Uchaguzi ni sawa na sukari kwenye chai maana uchaguzi " haunogi" bila rushwa lakini wakithubutu wanaweza kuishinda Lakini vyama vya upinzani kushirikiana kwa kusimamisha mgombea mmoja kwa nafasi ya Rais na Mbunge ni kama vile ni jambo la...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli mchungu: Zipo kura za WanaCCM wa JF kwa Lissu, hazipo kura za wanaCHADEMA wa JF kwa Rais Magufuli. Ushindi unaanzia hapa!

    Rais Magufuli umelikoroga sasa na ulinywe tuu maana hakuna namna. Ukitumia ubabe kwa watanzania watakupiga kwenye sanduku la kura, sisi tunasema usitumie ubabe. Tukakusihi kutoka mwaka 2016 kwamba ubabe hausaidii, tukawambia usifanye hivyo ukakaidi, sasa utapigwa! Tulikuonya usiende na njia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania, Kuukimbia ukweli hakutatusaidia

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Siyo siri tena zama zimebadilika na matukio yanakwenda kwa kasi sana. Taifa letu likipita katika kipindi kigumu ambapo kwa bahati mbaya kumezuka hata makundi katika jamii ambayo yamelenga kupiga makelele tu yakijaribu kulazimisha kuufanya uongo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ulifanya la maana kuzindua mwenyewe miradi yako ya mwishoni mwishoni, la sivyo Watanzania wasingejua ukweli

    Kuna miradi mikubwa mitatu (Signature projects) ambayo JK aliamua kuizindua mwishoni mwa utawala wake. Miradi hiyo ni 1. Mwendokasi DSM 2. Daraja la Kilombero 3. Hospitali ya Benjamin William Mkapa iliyoko ndani ya Campus ya chuo kikuu cha UDOM Miradi yote hii, JK aliizindua kuelekea mwishoni...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume jueni ukweli huu ya wanawake utawasaidia

    Maandiko yaliwaonya ishini na wanawake kwa akili. Wanaume jueni haya juu ya wanawake ambayo hamyajui au mnayajua Ila hamtaki kukubali huu ndio ukweli. 1)wanawake baadhi sio wote wakipenda wanapenda kweli,wanauwezo wa kuwa na huyo mwanaume mmoja maisha yao yote ndani ya ndoa .Ila ni baadhi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Viongozi wastaafu walishtukizwa kuongea na wameongea ukweli

    Nilikuwa nafuatilia mazishi ya hayati BW Mkapa tangu mwanzo hadi mwisho. Niliona jinsi ambavyo rais wetu alivyo mtaka rais wa Zanzibar kuzungumza na wananchi wa Masasi na Shein alionesha kushtuka kwa hilo kwani hakuwa amearifiwa lakini alikwenda. Pia akafuata Kikwete na baadaye Mwinyi. Wote...
  11. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mkapa aliweka ripoti ya Jaji Warioba Kabatini, Tuseme ukweli

    Amani iwekwenu. Jana tumemlaza mzee wetu kaburini. Ni bwana BWM. Huyu ni raisi wa awamu ya tatu wa Tanzania. mengi yalisemwa ya kweli na ya uongo. ni hulka ya mtu mweusi.mfanowe ni musiba, huyu alimwita marehemu mwizi lakini juzi aliibukia msibani hata kupiga magoti mbele ya mjane. mnafiki...
  12. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ili tufike Uchumi wa Kati shirikishi tunapaswa kufanya nini?

    Ndugu wananchi, Kama taifa lazima tuwe na dira na Mipango. Marehemu Mzee Mkapa alitamani kwamba ikifika mwaka 2020 ba Pato la Mtanzania liwe limefika USD 3000. Niseme tu kwa wale ambao sio wafuatiliaji wa Mambo kwa sasa GDP per Capita ni USD 1080 Ila tukitumia mfumo wa PPP (Purchasing Power...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuyafunua yaliyofunikwa: Historia ya kweli ya Uyahudi na Wayahudi

    UTANGULIZI Masiku yamepita huku nikitamani sana kuandika chochote kuhusu Uyahudi na Wayahudi. Kuandika kuhusu chimbuko lao, kuandika kuhusu uhusiano wao na wana wa Israeli,kuandika kuhusu itikadi zao, kuandika kuhusu madai yao kwa nabii wa Mola muumba Musa mwana wa Imraan mwana wa Quhaata mwana...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni uchawi ama hisia! Mahusiano kati ya baba na binti yametamalaki Jijiji Dar es Salaam

    Kuna watu wanajiulizaga huko mitaani hivi hivi vibinti huwa vinabikiriwa na nani? Kademu tunakaona kuanzia kapo darasa la kwanza, kanamaliza Darasa la Saba kana miaka kumi na mbili au kumi na tatu dogo (15yrs) anakatokea kanamkubalia kanampa tunda, wanasanukiwa, kesi inafika Kwa wazazi...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza audio ya kocha wa Yanga, ameongea ukweli mtupu. Uongozi wa Yanga haupendi kuambiwa ukweli

    Habari wadau, Nimesikiliza Audio ya kocha wa Yanga maneno aliyoyasema ni ya kweli tupu. Mimi ni mwanayanga ila sijasikia sehemu akitutukana. Viongozi wa Yanga wameibadilisha tafsiri ya maneno ya kocha ili walinde vibarua vyao na kujitetea maovu yao kwa mashabiki. Kocha amesema anashangaa...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli ambao wana CCM hawataki kuusikia: Magufuli hatashinda Urais Uchaguzi Octoba 2020

    Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki. Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu. Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili. Mifano...
  17. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba CHADEMA hawawezi kumdhibiti Tundu Lissu, anafanya anachotaka

    Tundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama...
  18. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, awashushua TAKUKURU na Watendaji wote wanajipendekeza kwake na kupeleka miradi ya Maendeleo Chato

    “Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati...
  19. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 TAKUKURU toeni ripoti ya ukweli kuhusiana na uchaguzi jimbo la Rorya

    Tarehe 21 Julai, 2020 kulikuwa na mchujo wa watia nia kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Rorya. Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa na kulikuwa na harufu kubwa ya rushwa. Wengi waliopata alama za juu aidha kuna mbinu iliyotumika na kuwawezesha kupata kura nyingi. Tunaiomba Takukuru...
Back
Top Bottom