ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani

    Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF. CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa. Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matatizo ya CCM kama chama yangevumilika, Magufuli havumiliki huo ndio ukweli

    Kichwa cha habari kinahusika. Walau CCM kama chama pamoja na madhaifu yake mengi kuna mambo watanzania walikivumilia kutokana na mila zake. Licha ya chama kulea ufisadi na kuwalinda mafisadi kwa muda mrefu bado kiliishi kwenye misingi. Hatukuwahi kupata kiongozi mwenye madhaifu mengi...
  3. hayaland

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee Membe uko pande zipi? Nini shida sikusomi kabisa.Umemsikia Bashiry Ally? Tupe ukweli

    Mzee wangu Membe ulisafiri kwenda Dubai falme za Kiarabu kwenye vikao vyako vya kila mwaka,jamii ya kitanzania ilikusubiri kwa hamu ili kuanza kampeini katika maeneo mbalimbali nchini.Umerudi salama mungu ni mwema hujaonekana kabisa kwenye kampeini zako. Kibaya zaidi katibu wako alikamatwa pale...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

    Wanabodi, Kwanza sikiliza hii Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA imeshanyakuwa miji mikuu yote katika kila mkoa, hauhitaji darubini kuuona ukweli

    Kila alipopita Mgombea wa Urais wa CCM akipita wa CHADEMA mahudhurio wananchi waliofikia umri wa kupiga kura inakuwa ni mara mbili,Ni ukweli usio pingika ambao utadhihirishwa kwa usahihi zaidi siku na baada ya upigaji kura na kura kuhesabiwa. Unajua Mheshimiwa Magufuli chama chake kinawavutia...
  6. I AM NO ONE

    JamiiForums Tanzania Kuna Ukweli wowote juu ya kufatilia ramli au nyota

    Niaje ebhana hapa me pamekuja kunishangaza sana nimekuwa nikifatilia mambo ya nyota kila siku lakin cha ajabu unakuta yote anayokwambia kuhusu nyota yako ni sawa ukijitasmini ila kwa upande wa nyota za kila siku nimekujua kuona ni uonga maana haisema ukweli,vingi vinavotafsiriwa kila siku kwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuseme ukweli maendeleo yaliyoletwa na CCM siyo ya kubeza. Tukumbushane kisha tuwapigie kura ya ndiyo CCM

    Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo: 1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza-...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sasa CHADEMA ni Chama Tawala, ni suala la muda tu - ukweli ndio huo

    CCM kubalini yaishe japo mnasema Mapinduzi daima, kubalini kwa roho safi kabisa wala msiwe na kinyongo. Ukiangalia CCM haina tena mvuto kiukweli huku mitaani achana na majukwaa, huku mitaani kila mtu ni CHADEMA mwaka huu. Ona sasa CCM wamebaki na wasanii kwa kuwavalisha kofia kama kumbukumbu...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bernard K. Membe amenena yafuatayo :"Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui...
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli umejulikana sasa

    Kabla kampeni hazijaanza tuliaminishwa na mimi nikaamini kuwa upinzani Tanzania umefutika kabisa. Habari ya mjini ilikuwa CCM au Magu, kila ukigeuka kushoto, kulia, nyuma au mbele ni CCM au Magu. Baada ya kampeni kuanza upepo umebadilika kabisa. Sikutarajia watu kushabikia na kuhudhuria...
  11. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Huwezi kuwa na Uhuru kama wewe ni mtegemezi. Watanzania sasa tuko Huru zaidi kwani sasa tunajitegemea

    Katika kipindi hiki ambacho enzi za Anna Makinda, Tundu Lissu alikiita 'silly season' tutasikia uwongo na upotoshaji mwingi. Tunaambiwa eti Tanzania kwa sasa hakuna Uhuru. Yaani sasa hivi Watanzania hatuko huru. Ukweli ni kwamba mtu au nchi haiwezi kuwa huru kama mtu au nchi hiyo ni mtegemezi...
  12. Rajab_Omar

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Wanayanga hatukubali lazima Wananchi tuambiwe ukweli

    Salaaam Wananchi Wenzangu, Kwa masikitiko makubwa timu yangu Pendwa ya Wananchi Dar Young Africans imesajili wachezaji wapya lakini jezi wanazovalishwa ni za Zamani. Kwa nini Eng. Hersi Saidi ambaye mara nyingi anatuhumiwa kwa uongo alituahidi kuwa kwenye kilele cha siku ya Wananchi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tuambiwe ukweli, Kassim Hanga, Abdulaziz Twala na wengine wote wamelala wapi? Halafu tusameheane

    Unaweza kushangaa kwanini nimeileta hoja hii upande wa jukwaa la HISTORIA, wakati ni jambo lililozungumzwa ktk mkutano wa kampeni za uchaguzi. Kati ya mwaka 1964 na 71,Khassim Hanga, Idris Abdalah Majura, Abdul Aziz Twala, Mdungi Ussi, Saleh Sadalah, Jaha Ubwa, Juma Ringo, Othman Sharif, na...
  14. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli tunaotakiwa kujua kuhusu mazao ya biashara: Kila zao lilikuwa na enzi zake

    Haya mazao ya kilimo ya biashara bei zake kwenye soko la dunia hupangwa na hao wakubwa (mabepari) wa dunia. Bei hizi hazipangwi na watanzania. Ukweli ni kuwa haya mazao kila moja lilikuwa na enzi zake kwenye kinara. Kulikuwa na enzi ambayo zao la mkonge lilikuwa ni lulu kwa kutupatia fedha za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ni nini? Ukweli kuhusu maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu

    Waungwana, Kwanza nikiri kuwa mimi sio mtaalamu wa uchumi Ila ninafahamu kuhusu maendeleo. Suala la maendeleo linatafsirika tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Hapa karibuni pamekuwa na kelele sana kuwa watanzania wanataka maendeleo yao (maendeleo ya watu) na siyo maendeleo.ya vitu. Uzi huu...
  16. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania GE2020 TBC ni pasua kichwa na wala hawaaminiki, Wamechakachua matangazo mbashara ya NCCR na CHAUMMA

    Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe Hivi wataacha lini huu uhuni? Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii Update Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi wa serikali kutoza Jodi maiti wamekata na huko Hawa majamaa hawaaminiki kabisa I
  17. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ukweli tunaotakiwa kuujua: Rais atakayekuwa hana wabunge wa kutosha Bungeni hataweza kuleta au kufanya mabadiliko yoyote na Urais wake hautadumu

    Utawala wa nchi yetu na nchi zote za kidemokrasia ni utawala wa sheria. Na sheria hizo tunazitunga wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu kwenye bunge letu. Sisi ndiyo tunaoamua nchi yetu tuiendeshe namna gani kupitia sheria tutakazozitunga au kuzibadilisha kupitia wawakilishi wetu (wabunge)...
  18. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli Watanzania wengi wameondolewa tabasamu, Nimeona kwenye Kampeni za CCM

    Nafuatilia sana kampeni haswa za mgombea uraisi kwa CCM, nimeona ukweli was utafuti uliotoka na hitimisho kuwa Tanzania ni moja ya mataifa ambayo watu wake hawana furaha. Angalia:- - Utaona watu wanaohudhuria mikutano ya mgombea wa CCM wengi hawashangalii, wananafanya mambo kwa kulazimishwa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tujadili ukweli wa mambo haya kuhusu idadi ya wapiga kura Uchaguzi 2020

    Mwaka 2015 kulikuwa na wapiga kura milioni 16. Leo tunaabiwa Kuna wapiga kura milioni 29, yaani nyongeza ya wapiga kura milioni 13 ndani ya kipindi cha miaka mitano. IDADI YA WAPIGA KURA: Toka tupate uhuru, mpaka wakati wa uchaguzi uliopita idadi yawatu ilikuwa milioni 56, wapiga kura milioni...
  20. Carleen

    JamiiForums Tanzania Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

    Hi guys, Nipo tu hapa najiuliza ni kwanini asilimia kubwa ya wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweli?? Ukitaka ugombane na mtu sahii njia rahisi ni 'pesa' na 'kumchana' Yaani kumuambia mtu ukweli kuna uhusiano gani na chuki? Maana the moment umemchana tu mtu kuwa amezingua kwenye issue flani...
Back
Top Bottom