Ukweli unaokereketa: AC Milan na Yanga ni klabu pekee ulimwenguni ambazo hadi sasa hazijafungwa kwenye ligi zao

wew unatembea na mwiko nyuma muda wowote utaingia tuu we tulia..acha uupuzi
 
Wakati wa ukuaji wangu nilikuwa naamini sana hakuna watu wazima wajinga lakini cha ajabu nilivyokua mtu mzima niliona watu wazima wengi sana wajinga.

Wewe ni mmoja wao yani ni mjinga sana.
Siendi mbali ligi ya Afrika ya Kusini ina timu 5 ambazo hazijapoteza mpaka sasa.
Swallows, Orlando, Mamelodi n.k
 
Kwahiyo sisi mbumbumbu fc tunashiriki vp msiba wa azam fc
 
We ni bonge la kilaza Lille ya ufaransa haijamfunga ac Milan goli 3 bila week kama mbili zimepita
 
Back
Top Bottom