Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,069
- 4,294
Nimekuwa nikisikia na kusoma hoja na mijadala mbalimbali hapa JF na kwa mara great thinker wengine mbalimbali kuhusu formula ya maisha watu wakidai maisha hayana formula ni bahati tu ya mtu wengine wakidai juhudi na bidii ndio formula ya maisha na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema maisha ni akili ukiwa na akili we umetoboa lakini wa watu tumetumia hizo vitu na bado tuna angukia pua wakaja watu wa motivation na swaga zao tukaishia kutapeliwa fedha zetu bure kumbe ss ndo tulikuwa fursa inauma sana mjomba na shangazi
Mimi kama saile thinker licha ya kuwa na umri mdogo nikaamua kufanya research maana pia natamani mafanikio katika research yangu nimegundua na kuja formula yangu iliyo kwisha kuzaa matunda kwa wengi nilio watonya formula ya kufanikiwa ni
A
1.spritual power(nguvu ya kiroho)
2.intellect (akili)
3.hard work (juhudi)
Na sio
B
1.intellect
2.Hard work
3.spritual
C
Wala et
1.hard work
2.sprtual
3.intellect
Kama vilivyo pangwa apo kwenye kundi A ndivyo 1 ad 3 ndivyo vipewe kipau mbele kuringa na nafasi yake
Sasa tunafeli wapi watu na deal na kimoja wapo tu badala ya vyote kwa pamoja mfano mtu ana komaa na juhudi au akili au spritul tu yaani kusali sana au kuroga sana tu badala ya. vyote kwa pamoja
Hapo kudeal na juhudi ni rahisi inshu ni kudeal na spritual then akili apa ndio wabongo na wengi duniani tunachemka
Ila nakuhakikishia ukiweza kudeal na vyote hapo kila usahihi hakika unatoboa na hiyo ndio life formula
Asante
Uliza chochote npo kukujibu
Saile thinker
Alaf naomba niweke sawa hapa watu mnashindwa kuelewa nini maana ya spritual power hii sio dini wala kutenda mema isipo kuwa ni nguvu binafsi unayo kuwa wewe kama wewe hii haiusian na dini wala waganga ni nature sasa mafanikio yanaendana na status yako ya kiroho kwa wakati huo wengi huita nyota sasa unaweza zaliwa ikiwa strong moja kwa moja apa kila unachogusa ni tick ila some time unazaliwa tayari upo weak apa utakomaa mpaka huruma lkn wap
Vile vile unaweza zaliwa Strong baadae ukajichanganya ikawa weak automatically au kuzaliwa weak ila ikafika time ikawa strong any way in case of umekua weak spritual hapa ndio ndio lazma utafute msaada wa kuwa strong aither kwa Mungu au unakojua we na kama ni kwa Mungu basi na usali kweli kweli narudia na usali kweli kweli muda huo bila kusahau intellect and hard work usije ukajisahau ukaegemea kimoja tu utatoka kapa fanya kila mmoja kwa nafasi yake
NB. Watu wengi tunadli na kimoja tu badala vitatu vyote apa ndo tunakosea lingine lmekomaa kusali tu utaishia kusema Mungu hayupo Lingine linafikiria tu utabaki na idea zako kichwani Lingine limekomaa ku work hard mpka utazeeka
Anza kucheza na vyote leo uone
The one who stand for nothing will fall for anything