ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kampuni ya Yapi Merkezi imekumbwa na ukata wa pesa hivyo kuathiri ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)au Serikali ya Tanzania inaficha ukweli?

    Tanzania inatafakari Mpango B kwa ajili ya mradi wake wa SGR huku kampuni ya Uturuki ikiachwa. Mawaziri wa fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa reli ya standard gauge (SGR) baada ya mkandarasi mkuu wa kampuni ya Uturuki Yapi Merkezi kuonyesha dalili...
  2. Kilimbatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

    Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo Simba ashafika nusu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Hellen White yana ukweli kuwa shetani na malaika zake walitubu dhambi baada ya uasi lakini Mungu aligoma kuwasamehe?

    Wadau hamjamboni nyote? Naomba kujua kama upo ushahidi wa Maandiko kuthibitisha madai kuwa Shetani na Malaika zake baada ya uasi mbinguni waliamua kumlilia Mungu wao awasamehe ila aligoma? Nimeweka nukuu ya Mama Hellen G White Nabii wa Wasabato hapo chini. "After Satan was shut out of heaven...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni huu watawala wametelekeza shule za umma. Kwa sababu watoto wao hawasomi huko

    Linapokuja swala la elimu nawakumbuka hayati Nyerere na Mkapa, hawa wakubwa walikuwa na dhamira ya kweli kuinua elimu ya Tanzania tofauti na awamu zingine........ Pamoja na katiba mpya kuna haja ya kudai elimu bora shule za umma kwa nguvu zote, Familia zenye uwezo mdogo zinaangamiza watoto kwa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

    Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Watanzania Hamna Maarifa ya Kuendesha Bandari: Ifike Muda Ukweli Usemwe.

    Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza. Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Adui wa taifa sio Ujinga, umasikini na maradhi, bali ni ni lishe

    Aliyebuni kula liugali kubwa na kamboga kadoko au wali lumbesa na tumaharage kidogo ndio katufikisha hapa. Tunakula ili tujaze tumbo sio kushibisha seli hai kwa virutubisho jengefu. Watu wengi tunashiba tumboni lakini seli za ubongo na za maamuzi ya msingi zinalala njaa kila siku. Matokeo yake...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Gerson Msigwa ameshushwa Cheo

    Kuna Wakati mambo ya Nchi hii yanashangaza sana ! Pamoja na kwamba sifahamu vigezo vya Mtu kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali , Lakini natambua kwamba kuwa Msemaji wa serikali ni dhamana kubwa mno , na kwa kadiri ninavyomfahamu Msigwa hakustahili kuwa Msemaji wa Serikali yetu ya Tanzania ...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kasumba ya kuna uchungu wa mzazi kwa mtoto aliyemzaa haina ukweli

    KASUMBA YA KUNA UCHUNGU WA MZAZI KWA MTOTO ALIYEMZAA HAINA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza ikawa Tata. Pengine ikazua mfuragano wa kutoleana hoja. Ni vizuri kila mmoja atoe hoja zake Kwa utulivu kutetea upande wake. Kuna dhana au tuseme Kasumba iliyoenea Duniani...
  10. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafsi ya Joh Makini imeshindwa kukubaliana na ukweli Mchungu kuhusu mapokezi duni ya wimbo wake mpya uitwao "Bobea"

    Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla. Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa...
  11. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jay Dee wacha nikwambie ukweli dada angu. Wimbo wako mpya " mambo matano" sio mzuri

    Achana na watu wanao komenti kwa kukuogopa kwenye page yako huko instagram. Ukweli ni kwamba wimbo wako sio mzuri na hauendani na nyakati zilizopo. Nakushauri ufanye tena research yako vizuri. Kisha nenda upya studio uje na wimbo mpya. Ni hayo tu dadake
  12. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani tunaweza kupima ukweli wa historia inayofundishwa mashuleni?

    Wasalamu ndugu wana JF wote. Historia ni somo muhimu na lenye tija sana kwa kuzingatia ukweli kwamba historia inatunza kumbukumbu muhimu kwa taifa, Kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka vyuo vikuu somo hili limekuwa linawajengea wanafunzi , walimu na wanahistoria kwa ujumla uwezo wa kutoa hoja...
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba, mkuu wa wilaya ya Kinondoni hafiti kabisa kuongoza wilaya yetu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakubwa leo sina mengi ya kuelezea, ila ukweli ni kwamba mkuu wa wilaya yetu ya Kinondoni aliepo ofisini sasa hafai hata robo kuongoza wilaya yetu. Kila mtu anafahamu kwamba wilaya ya Kinondoni ndio wilaya inayoongoza kuwa na wasomi wengi nchini, ndio wilaya...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  16. KEMPANJU BOY

    JamiiForums Tanzania Ujue mzimu wa Kempanju wa ukoo wa Abashambo wa Kiziba, Misenyi

    Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa). Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya Buyango, kijiji Lwamachu kitongoji Nyakihanga ambapo ndiko haswa nyumbani kwa ayo majina mawili ambayo...
  17. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Kiukweli Yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaani inatisha

    Ukweli usemwe tu kama hamtaki niueni mwili wangu mkautupe bandarini usepe na waarabu. Kiukweli yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaan inatisha. Mimi kama kitayose naomba tiefefu isinipange kucheza na yanga 🙏 Kwa upande wa Simba aaaaah "hata haturingi" na hawarigi kweli na kikosi kibovu...
  18. Half american

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
  19. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

    Amani iwe nanyi wapendwa. Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
  20. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Tuwaambieni ukweli viongozi wetu!

    Kuna wakati huwa natafakari na kufanya tathmini; nadhani kuna ukweli kwa kile ninachotafakari! Viongozi wengi wa kisiasa hudhani kwamba watanzania hawajui chochote. Wanadhani kwa kuwa wao hawakuwa na fursa ya kujua mambo mengi enzi hizo wanaishi vijijini, basi wanadhani hata sasa hali ni...
Back
Top Bottom