Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?


  • Total voters
    6

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,128
2,337
Government Electronic Payment Gateway (GePG)

Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi?


Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea risit wao wanaenda bank wanaomba huo muamala urudishwe kwa account fulani au wanachetusha muamala huo wewe unahisi ni malipo ya serikali kumbe umelipa au siyo

Unaweza ukawa unafanya malipo unacheleweshewa huduma kumbe wajanja wameshachukua pesa system inasoma hujalipa

Au unalipa pesa kumbe zinaenda kwenye account binafsi

.Naomba kupata ufahamu wa hili
 
Kwani Hukuwahi Sikia Rais Alizungumzia Halmashauri Mbeya Kufanya Hivyo
 
Back
Top Bottom