Lady Jaydee bado ana kiporo cha hili swali kuhusu Chidi Benz, naomba atuweke bayana ukweli kuhusu yeye na Child Benz nini kilitokea baina yao?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,446
21,140
Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy .

Inavyosemekana kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba Chidy alikuwa anamtaka kimapenzi Lady Jaydee akaamua kumtongoza Lady Jaydee ,Lady Jaydee akamtolea nje maana aliona kama dharau hivi na hakuishia hapo akaenda mpaka kufuta verse yake hivyo alivyoenda kushuri video verse ya Chidy haikuwepo.

Wengine wanasema Chidy alimwambia Lady Jaydee hawezi kuja kushuti video kwa sababu hana nguo za kushutia ,akitaka aje basi amnunulie nguo ,Lady Jaydee akaona upuuzi huu akafutilia mbali verse yenyewe .

Sasa cha ajabu hili swali hakuwahi kuulizwa popote pale Lady Jaydee wala Chidy Benz ili watuweke wazi nini kilitokea kati yao mpaka kupelekea verse ya Chidy kufutwa.

Kama ishu ilikuwa ni kweli ya mavazi iliyopelekea Chidy kugoma ,mbona video nyingi tu tunaona wasanii wanashirikiana vizuri kwenye audio lakini kwenye video wengine walioshirikishwa hawatokei lakini verse zao hazifutwi ,kwa nini kwa Chidy ilifikia hatua hii?

-2091182302.jpg
1678975406.jpg
 
Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy...
Ule wimbo Airtel walitoa pesa kuutumia kwenye matangazo na katika fungu la hiyo pesa ilibidi na chidbenz apate.

Lakini kilichotokea mwanadada akaona aurudia bila verse ya chid ili pesa zote azitie kibindon. Hicho ndicho kilichotokea.
 
Ule wimbo Airtel walitoa pesa kuutumia kwenye matangazo na katika fungu la hiyo pesa ilibidi na chidbenz apate. Lakini kilichotokea mwanadada akaona aurudia bila verse ya chid ili pesa zote azitie kibindon. Hicho ndicho kilichotokea.
Aisee
 
Kwanza alitaka chidbenz aje wafanye video, chid alikuwa nairobi akataka aje kwa gharama zake mwenyewe yani ajighalimie kila kitu wakati jamaa ashaambiwa kuwa kapewa mtonyo.

Chid akamwambia agharamie walau nauli na nguo akamgomea. so Chid akagoma kuja ndipo akairudia hiyo track mwenyewe bila verse ya chid penye verse ya chid wakaweka madansa.

Kama unakumbuka huo wimbo airtel nadhani kipindi hicho wanaitwa celtel au zain sina kumbukumbu nzuri waliutumia kwenye tangazo
 
Ule wimbo Airtel walitoa pesa kuutumia kwenye matangazo na katika fungu la hiyo pesa ilibidi na chidbenz apate.

Lakini kilichotokea mwanadada akaona aurudia bila verse ya chid ili pesa zote azitie kibindon. Hicho ndicho kilichotokea.
 
Muulize leo Chid Benz akupe jibu mubashara...
Majibu yake mi yananiacha hoi..
 
Mwandishi atakaemuuliza Chid hilo swali atakua kanunua ugomvi
Chid Chillah na Kigogo Warioba hao hata waende wapi lazima mwsho warudshe chenchi
 
Kama aliomba Utelezi ni sawa maana hata wewe uwezi kuacha utamu wa Mkurya komando Jide ukupite hivihivii..

Kama alikataa kisa Pesa nayo ni sawa maana King Kong enzi izo alikua na mambo mengi ,pesa ya gym,pesa ya Nguopesa ya bangi,pesa ya Unga,,Pesa ya Studio,Pesa ya live show yake Aisee mwamba alikichafua sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom