ukimwi

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya imetangaza Shindano la kuandaa Jina na Nembo ya Mpango Jumuishi wa UKIMWI, Homa ya Ini na Magonjwa ya Ngono

  2. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Napataje PEP nijinusuru

    Habari Wana Jamii Health. Siku Ya Jana Nimejikata Na Wembe Wakati Nikijaribu Kuutupa Ili Usije Dhuru Mtu. Hapa Karibu Kuna Watu Wameathirika, nimejawa na Uwoga Napataje PEP? Masaa Yanayoyoma Kuelekea 72 Hii Ni Saa Ya 36. Nipo Dar Es Salaam. Upatikanaji Wake Ukoje
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hakika UKIMWI ni ugonjwa wa maskini. Magic Johnson kaishi nao miaka 32

    Huyu mcheza kikapu maarufu ambaye hivi juzi ametangazwa kuwa bilionea ameishi na ngoma kw miaka 32. Aligundulika na UKIMWI mwaka 1991. Akatangaza hadharani kuwa kaukwaa. Hadi leo mwaka wa 32, akiwa na miaka 64 bado anadunda nao. Tajiri hafi kwa ngoma.
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu UKIMWI is real

    Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana". Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Iringa: Jela maisha kwa kubaka na kumpa mtoto Ukimwi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

    Hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G. Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe. Wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers. Tamaa ya utelezi na msererereko...
  8. Atalanta

    JamiiForums Tanzania Usije uka google dalili za Ukimwi kama unajihisi unao "Utakufa kwa presha"

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi vizuri kwa kufuata ushauri wa madaktari. Pia uzi huu haupo kwaajiri ya kuwanyanyapaa watu waishio na...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Nadharia mbalimbali kuhusu Maambukizi na Matibabu ya VVU na UKIMWI

    VVU/UKIMWI vinasalia kuwa janga kuu la afya ya Umma duniani, janga lililogunduliwa zaidi ya miaka 40 iliyopita likiwa limechukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40.4 huku maambukizi yakiendelea katika nchi zote duniani. Hadi kufukia mwishoni mwa mwaka 2022, kulikuwa na wastani wa watu milioni...
  10. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwa mazoea haya tutatokomeza UKIMWI?

    Tangu kuingia kwa ugonjwa wa ukimwi mwanzoni mwa miaka ya 80 harakati za kupambana na ugonjwa huu ni kubwa na mapambano yanaongezeka kasi kadri miaka inavyoenda. Ukweli ulio mchungu mpaka hii leo ugonjwa huu hauna dawa, na ulivyoingia ulipukutisha watu maana hakukuwa na kizuizi chochote wengi...
  11. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Jinsi mchepuko wangu alivyotaka kuniambukiza gonjwa la UKIMWI

    Sehemu ya 1 Mimi ni mfanyakazi katika taasisi mojawapo iliyopo chini ya wizara ya elimu iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha (Tengeru). Makazi yangu yapo jijini Arusha. Muda mrefu nimekuwa kwenye mgogoro mkubwa wa ndoa na mke wangu jambo lililonipelekea kutafuta mchepuko wa kuupooza moyo...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania KWELI UKIMWI uliingia Tanzania kupitia mkoa wa Kagera

    Nianze kwa ku-declare interest kuwa mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kagera Wilaya ya Missenyi. Katika makuzi yangu hasa baada ya kutoka nje ya mipaka ya mkoa wa Kagera, nimekuwa nikishambuliwa na kutaniwa sana kuhusu UKIMWI kuanzia mkoa wa Kagera. Hayati Rais Magufuli kwa nyakati tofauti amewahi...
  13. fundi radio

    JamiiForums Tanzania SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  14. MzeeKipusa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Dah , sio poa! Nipo hapa nafuatilia BBC London habari... Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa. Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo? --- Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya...
  15. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 UKIMWI Bado ni Tishio, Tukuchukue Tahadhari

    VVU ni nini? Hiki ni kifupisho cha neno Virusi vya Ukimwi, na Ukimwi ni kifupisho cha Upungufu wa Kinga Mwilini. Ugonjwa wa VVU/UKIMWI (Virusi vya Ukimwi/ Upungufu wa Kinga Mwilini) umeingia Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1980, ambapo watu waliupa majina mbalimbali, yakiwemo “Juliana”, “Slim”...
  16. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

    Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom. Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi nyuma, 1. Nywele zinanyonyoka af zilizobaki zinakua kama za kiarabu. 2. Mabega yanapanda juu na...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Kuambukiza HIV/Ukimwi kwa makusudi jela kuanzia miaka 5-10, kumtaja mwenye HIV jela hadi mwaka mmoja

    Leo nimepitia sheria ya Ukimwi/HIV iliyopitishwa mwaka 2008 baada ya kusikia mwamba wa Mara huko kafungwa miaka 7 kwa kusambaza Ukimwi makusudi. Kifungu cha 47 cha sheria hiyo kinasema mtu yeyote kwa makusudi akasambaza virusi vya ukimwi kwa mtu mwingine atakuwa ametenda kosa na akithibitika...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baba wa kambo jela kwa kumuambukiza mtoto UKIMWI kwa makusudi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi. Hukumu hiyo imetolewa mjini hapa leo Mei 31, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu mwenye...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio

    Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani...
  20. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa baba au mama kuwaficha watoto kuwa ana ugonjwa wa (UKIMWI)

    Habari zenu Wana Jamii forums Wazazi wengi wanaishi na ugonjwa wa UKIMWI kwa Siri bila watoto wao kujua na wanatumia ARV kwa siri chumbani. Na wengi wao wanaogopa kueleza Hali zao za Afya kwa familia wakihofia kudharaulika,sababu watoto now days shuleni wanajifunza UKIMWI unatokana na ngono zembe.
Back
Top Bottom