ukimwi

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete aipongeza GGML kuendeleza kampeni ya kudhibiti UKIMWI, akusanya Tsh. Bilioni 1.6

    Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh Bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa Harambee ya Kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa na Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa lengo la kukusanya Sh Bilioni 2.3 fedha zitakazotumika kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya...
  2. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Naandika uzi huu huku nikiwakumbuka wengi waliokufa na gonjwa la hatari la UKIMWI kule kwetu Iringa Mafinga kwenye misitu mbao mji wa biashara mji wenye viwanda vidogo vidogo vingi vya mbao mji wa majani ya Chaibora. Mimi nilizaliwa mwaka 1990 DSM, baadae mwaka 1995 tukahamia mafinga mjini...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania WHO: Homa ya ini ni hatari kuliko UKIMWI na Kifua Kikuu

    Shirika la Afya Duniani WHO Wametoa taarifa walisema ugonjwa wa homa ya Ini ni Hatari sana Kwa Mwandadamu kuliko Virusi vya Ukimwi HIV na Ugonjwa wa Kifua Kikuu.. Tuchukue tahadhari ikiwemo chanjo ya homa ya Ini === Mashirika ya afya likiwemo la Afya Duniani (WHO), yanaonya kuwa homa ya ini...
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga vita umasikini wa nguvu kuliko kupiga vita UKIMWI

    Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
  5. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Janga la UKIMWI haliwezi kuisha kama watu wasipokuwa makini na Saloon/hotel nk

    Huduma ya saloon/massage... daah huku ni balaa aisee janga la UKIMWI haliwezi kupotea kama hali itazidi kuwa hivi. Huduma zinazotelewa uko SALOON yenye huduma ya massage ni huduma ambazo zinatakiwa zipatikane nyumbani kwa mke wako. Sasa wewe hushapata hiyo huduma saloon nyumban unaenda kupata...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Niko na wadau wa THIS wananipa stori, hali ya UKIMWI inatisha

    Aisee hali inatisha wakuu vijijini kiasi cha maambukizi kinatisha kinazidi kuongezeka takwimu zitatoka mtaona. Shida ni hawa machangudoa wa kutoka Dar wanaleta vimelea mikoani, mfano msimu wa mavuno siku hizi mikoa ya Lindi Na Mtwara na wilaya ya Tunduru kwa sasa hali sio nzuri uchafu wa kila...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa adai anatibu UKIMWI kwa kutumia Kobe, Ngozi ya Nyati

    Mkazi wa Kijiji cha Nyarukoru, mkoani Mara, Matimba Washa (28), ameshitakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Butiama kwa makosa matatu likiwamo la kukutwa na kobe 998, magamba 10 ya kobe, ngozi ya Nyati na mkia wa Nyumbu, vyote vikiwa na thaman ya Sh168 milioni. Mshtakiwa huyo akidai ameoteshwa na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yapinga Wafungwa kupimwa UKIMWI bila ridhaa yao

    Mahakama Kuu imesema kitendo cha maofisa wa magereza kuwalazimisha wafungwa kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) bila ridhaa yao na kutangaza majibu ya vipimo vyao hadharani ni kinyume cha sheria. Majaji, Elinaza Luvanda, Edwin Kakolaki na Sedekia Kisanya wamekubaliana na ombi la kikatiba...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa kumenifanya kuepuka UKIMWI

    Habarini Nilitokea kumpenda mdada mmoja mzuri wa sura ana shep mzuri kilima kipo vizuri nilivutiwa nae kwa kweli na vile ana jua kudeka na mimi napenda mwanamke anaejua kudeka basi akawa ananidekea kwenye maongezi ya kawaida na mimi nikatokea kumpenda. Basi katika mzoea hayo tulipeana namba...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha UKIMWI kinavyotumika kama mbadala wa Kondomu

    Hofu ya uwezekano wa ongezeko la maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa miaka ijayo inazidi kutanda mitaani kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya vipimo vya haraka (HIV Rapid test) vya kubaini maambukizi hayo kwa kupima damu. Uchunguzi uliofanywa kwa zaidi ya wiki mbili katika maeneo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika viwanja vya llulu Mkoani Lindi leo Disemba 1, 2022 Hotuba ya Rais Samia Suluhu Tunapozungumza magonjwa ya UKIMWI na VVU tunazungumza muda wa miaka 30 tangu yalipoonekana...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Shime! Watanzania wenzangu, kesho 1/12/22 twendeni tukapime VVU

    Kesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu. Endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya ARV na kuepusha maambukizi zaidi. Shime wafanyakazi wa sekta zote, majumbani, wafanyakazi wa majumbani, n.k twendeni kesho tukapime VVU. Nashauri wahudumu wa afya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mwathirika wa UKIMWI

    Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo ni Baada ya muda katika mahusiano Baada ya kuwa nataka tufanye mapenzi alikuwa akini fanyia...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Ngono Biashara' chanzo cha maambukizi mapya ya UKIMWI kwa vijana

    Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani, inaelezwa kuwa uhusiano wa kimapenzi usio wa ndoa, wala wa kibiashara unaochochewa na dhana ya wazi kwamba ngono itabadilishwa kwa usaidizi wa mali au manufaa mengine almaarufu ngono muwawana, unazidi kujengeka...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho sili papuchi bila kumpima UKIMWI na ujauzito

    Wakuu, Wanawake akili zao wanazijuwa wenyewe! Kupitia uzoefu niliyopata humu JF, nikaweza kubaini hujuma niliyotaka kufanyiwa na hivi vibinti vinavyo vaa viatu vyenye manyoya. Tulipanga miadi ya kula papuchi wiki mbili zilizopita, ila kwasababu anazozijuwa yeye hakutokea, nikabaki na ugumu...
  16. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania SI KWELI UKIMWI hausababishwi na HIV, kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga

    Peace be upon ya' all, Hili swala limezua mjadala wa mda mrefu sana baina ya madaktari wao kwa wao wakivutana kwa hoja kuntu kabisa. Je ni kweli UKIMWI hausababishwi na HIV kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga?
  17. S

    JamiiForums Tanzania UKIMWI sasa baaaasi! Tujiachie tu mpaka shetani ashangae

    KIBERA, Kenya – The Bill & Melinda Gates Foundation today announced two new grants totaling US$2 million for Kenyan HIV/AIDS prevention-focused initiatives. William H. Gates, Sr., co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation, made the announcement at an HIV/AIDS town forum in Kibera, a...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyefungwa kwa kubaka, kuambukiza UKIMWI aachiwa huru

    Hamimu Yunusu, mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga ambaye mwaka 2018 alihukumiwa kifungo cha miaka 34 jela kwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la nne na kumwambukiza Ukimwi kwa makusudi, ameachiwa huru. Hukumu ya Yunusu ilijumuisha kifungo cha miaka 30 kwa kubaka na miaka minne kwa kumwambukiza...
  19. Bridger

    JamiiForums Tanzania KWELI Mashine za Kunyolea nywele zinaweza kusambaza VVU

    Kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya kutokuwa hai pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale watapoingia kwenye seli ya kiumbe. Inakuwaje sasa tunaambiwa HIV haambukizwi kwa mashine za kunyolea...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watuhumiwa kupimwa TB, Malaria na UKIMWI kwa lazima

    Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa. Kwa mujibu wa DPP wanalenga kuzuia usambaaji wa magonjwa kama TB na VVU kwa sababu watuhumiwa...
Back
Top Bottom