ukimwi

  1. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Engineered Virus Steals Proteins From HIV Pointing to New Therapy

    After promising results in monkeys, scientists plan to test the new treatment in a few people with H.I.V. A colored scanning electron micrograph of a human cell infected with H.I.V., in purple.Credit...Steve Gschmeissner/Science Source Scientists have developed a new weapon against H.I.V.: a...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo wa vijana hawa, UKIMWI kuisha tusahau!

    Wamekuja mabinti wawil kupanga. Nikawapangisha chumba baada ya muda Wakaanza kutembea na Wanaume za watu wa vile vyumba vingine. Wake zao nao wakaanza back2sender wakaanza kutembea na vijana wa mtaaani. Juzi wamepigana sana kisa simu na message wale Wanandoa. Wale Vijana wa mtaani baadhi ni...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi kupigana kunaweza sababisha maambukizi ya UKIMWI?

    Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI?
  4. Atalanta

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna watu wamewahi kupona kabisa H.I.V?

    Thread hii haipo kwaajili ya kupotosha au kuhamasisha imanipotofu dhidi ya H.I.V. UKIMWI upo na unaua! Wapo baadhi ya watu ambao walishawahi kupata H.I.V Lakini Baadae wakaja kupona. Wengine huweka wazi Lakini wengine hawaweki wazi. Wengi wao hupona kwa Kutumia dawa za asili na wengine kwa njia...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukiacha na kupata magonjwa ya aibu bado uzinzi unaua focus sana

    Kama unatafuta mafanikio au kazi au kusimamisha Empire yako ebu fanya semen retention then utanipa majibu.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyebaka mtoto na kumwambukiza UKIMWI aachiwa huru baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, imemwachia huru mzee wa miaka 78 ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 na kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kati ya 2022 na 2023. Mbali na Mahakama ya Wilaya ya Iringa kumuhukumu kifungo cha maisha Oktoba...
  7. SSMashinji

    JamiiForums Tanzania Elimu ya UKIMWI/ VVU

    VVU na UKIMWI ni changamoto kubwa ya kiafya duniani, lakini kwa elimu sahihi, upatikanaji wa huduma za afya, na matumizi sahihi ya dawa, maambukizi yanaweza kudhibitiwa na maisha ya walioathirika kuboreshwa. Utafiti na Maendeleo kupata tiba tofauti na iliozoeleka ya hadi kifo. Utafiti kuhusu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 UKIMWI Unatibika Endapo Tukiwa na Teknolojia ya Kisasa Katika Sekta ya Afya

    UKIMWI Unatibika Endapo Tukia na Teknolojia ya Kisasa Katika Sekta ya Afya UKIMWI, ambao unasababishwa na virusi vya ukosefu wa kinga mwilini (HIV), umekuwa tatizo kubwa la kiafya duniani kwa miongo kadhaa. Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo zimeathirika sana na janga hili. Hata hivyo, kuna...
  9. harakati za siri

    JamiiForums Tanzania HIV/ AIDS je hizi ni dalili za mwisho au Kuna tumaini bado?

    Habari madaktari wetu! Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes) Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki. Je ni kweli? au akikazana na dawa atakuwa sawa tena. Vijana kuweni makini Ukimwi upo kwa hakika, kuna watu...
  10. NESARA1952

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mkioa/Kuolewa mtulie kwenye ndoa

    Copy and paste kutoka kwenye page ya HIV living postive instagram. "Naitwa XXX naishi iringa naomba msaada napitia kipindi kigumu sana sijui nianzie wapi nina stress nyingi sana nimeolewa na nimeishi na mtu wangu kwa miaka miwili sasa, tulipima pamoja na tulikua negative 2022, Mwaka jana...
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  13. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Tuweni Makini Ukimwi upo sana nchini

    Dah tuweni makini UKIMWI upo. Humu ni post za mapenzi tu sijui hili au lile . Haya 1.6 ml wanao umeme . https://youtu.be/eVKa-dIWbdk?si=Eed0o5VAQM4ixvF2
  14. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania UKIMWI (HIV) isikutenganishe wewe na mwenza wako

    Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu. Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30. Pia nachukua fursa hii kuwapa pole na waliokutwa na kimbunga hidaya. Na ndugu zangu wa Rufiji, Arusha na Morogoro sijawasahau...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Vifo vinavyotokana na UKIMWI na Kifua Kikuu vimepungua nchini

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000 Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...
  16. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

    Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuhalalisha ngono zembe tumejitengenezea dhana mpya eti zinatukinga dhidi ya UKIMWI!

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Wasaalam! Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili! Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia majibu ikawa ni ngum! Nikaamua nijifunge kitambaa usoni nikakafata kakipo bila kuona nikakafulashi...
  20. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

    Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa...
Back
Top Bottom