Napataje PEP nijinusuru

Super Charged

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
930
1,643
Habari Wana Jamii Health. Siku Ya Jana Nimejikata Na Wembe Wakati Nikijaribu Kuutupa Ili Usije Dhuru Mtu. Hapa Karibu Kuna Watu Wameathirika, nimejawa na Uwoga Napataje PEP?

Masaa Yanayoyoma Kuelekea 72 Hii Ni Saa Ya 36. Nipo Dar Es Salaam. Upatikanaji Wake Ukoje
 
Hata zahanati ya karibu yako zipo na hakuna masharti kajiekeze TU, waambie ulilewa ukapiga samaki changu.
 
Huo Wembe uliukuta Una Damu Mbichi? Au ninwembe Uliokaa Muda Mrefu Ardhini?

Maambukizi Ya HIV au Kirusi Chake hakiishi Kwa Muda Mrefu sana Kwahiyo Uwezekano wa Wewe Kuugua ni Mdogo. Ingawa kama una Wasiwasi sana Kapambane na PEP hizi Dawa si Lele mama na Zinaumiza sana Mwili
...vinakufa damu ikikauka ila vikipata damu (nyekundu kama jezi za timu ile?) mnara unasimama tena vinasoma 5G.!
 
Usiogope ili upate maambiki lazima wanasema uwe ume ingiza kiwango angalau 2 micromyu ya infected blood kwenye blood stream yako sasa kwenye wembe sdhani Kwa muda iliyokaa chini isiwe imekauka kabisa na virus kufa
 
Back
Top Bottom