ukimwi

  1. goldcall

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

    Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini. Ujumbe ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama...
  2. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Kumbe hawa tunaowadharau ndio wanaotupa Trillioni Tisa kwenye Afya!

    Kumbe hawa tunaowadharau na kuwakumbatia Wachina ndio hutuchangia Asilimia 80% katika budget yetu ya Afya. Kutoa Dawa za ARV’s na Support ya kupima VVU / UKIMWI.
  3. mr vata

    JamiiForums Tanzania Nilipokoswa koswa kuambukizwa UKIMWI nikiwa mdogo

    Katika maisha tunapitia visa vingi sana ambavyo vingine kama tukiwa makini vinatuachia funzo kubwa. Tuna mikasa mingi ambayo kama ukipata mtu wa kuisimulia kwa kuiweka kwenye kitabu au filamu basi vitu hivyo vitapata soko kubwa kutokana na mikasa iliyopo ndani yake. Leo nataka niwasimulie kisa...
Back
Top Bottom