ukimwi

  1. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

    Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar. Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu...
  2. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania SoC02 UKIMWI siyo ugonjwa tishio tena, magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa, tuchukue tahadhari

    Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wazazi wanawaficha watoto wenye VVU

    Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani. Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
  4. haszu

    JamiiForums Tanzania Siku niliyojua mama yangu anaumwa UKIMWI mwaka 2005

    Ilikuwa kipindi Ferouz ndio ametoa wimbo wake wa starehe, mama alikuwa anaumwa ila nyumbani tulikuwa tunaambiwa anaumwa TB. Sasa siku jioni tumekaa mi nikaimba kipande cha wimbo wa Ferouz " starehe mnazipenda ila mwisho wake ni mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya...." Kwa kweli...
  5. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ni Janga kubwa kuliko UKIMWI

    Mapenzi ni mahusiano kati ya watu wawili wenye jinsia tofauti (yaani, mwanamke na mwanaume). Kwa mujibu wa chapisho la Blog ya Muungwana ya tarehe 17/01/2018, mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi yakiwemo uvumilivu, unyenyekevu, busara...
  6. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa elimu nchini ujikite zaidi kufundisha UKIMWI shuleni

    MFUMO WA ELIMU NCHINI UJIKITE ZAIDI KUFUNDISHA UKIMWI SHULENI Na Edson Joel UGONJWA wa Ukimwi ni miongoni mwa magonjwa hatari na yanayosumbua dunia kwa muda mrefu Sana kutokana na kuhathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya watu wengi hususani Vijana hivyo kupelekea wataalam wa afya duniani...
  7. The Clinical Pharmacist

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa nne aliyepona UKIMWI

    Habari gani ndugu zangu wanajamvi la Habari Mchanganyiko. Habari zetu zinaanzia huko carlfonia, Marekani ambako mgonjwa wa HIV ambaye ametumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, almaarufu kama ARV, kwa muda mrefu takribani miaka 30 sasa amekutwa hana Virusi hivyo. Hiyo imetokea...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Hatari: UN yatoa tahadhari kuhusu UKIMWI

    Umoja wa Mataifa umesema jana kasi ya kupunguka kwa AIDS imepunguka. KUNDI LA MSINGI LILILOATHIRIWA Nchini Marekani, mashoga wa kiume wamejumuisha zaidi ya robo tatu ya visa vyote vya UKIMWI. Asilimia ya mashoga kati ya jumla ya wagonjwa wote wa UKIMWI imebakia kluwa vile vile. Ulaya, mashoga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watu wenye kundi la damu O+ hawawezi kupata maambukizi ya VVU/UKIMWI

    Kumekuwa na uvumi kuwa watu wenye kundi la damu O+ hawawezi kupata maambukizi ya VVU/ UKIMWI. Hata hivyo, wanasayansi wanasema kundi la damu halina uhusiano wowote na kutopata maambukizi ya UKIMWI. JE NI KWELI UKIWA NA KUNDI “O” LA DAMU HUWEZI PATA MAAMBUKIZI YA UKIMWI?
  10. mchuku wa mangi

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wakandarasi wanavyopiga pesa za UKIMWI

    Kampuni ya Ukandarasi ya Rocktronic ya mjini moshi ni moja ya kampuni za ukandarasi zinazotajwa kupiga pesa zinazopaswa kutengwa na wakandarasi hao kwa ajili ya kutoa elimu ya kujikinga na mambuziki ya UKIMWI kwa jamii inayozunguka kwenye maeneo ya miradi wanayoitekeleza. Iko hivi,fedha hizo...
  11. Gama

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 30 kilio cha walioambukizwa virusi vya UKIMWI na homa ya Figo chasikika

    Hiki ni kisa cha kusikiktisha sana. Mtoto Jason alimuona baba yake akiumwa na hadi kifo. Baba yake alikuwa mmoja wa wahanga wengi wa jumuia iliyokuwa na ugonjwa wa :Haemophilia, muathirirka wa janga hili huwa na uwezo hafifu wa damu kuganda. Kufuatia hali hii, wahanga walikuwa wakiongezewa damu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

    Waungwana, nina kibanda changu hapa Babati kipo nje ya Mji kidogo ambako umeme wa TANESCO/REA bado haujafika. Nilipoona matangazo ya Kampuni ya Sola ya Mysol yenye Makao Makuu Arusha kwenye Television nikaona nifanye mchakato wa kupata Sola Moja ya Mkopo. Nikapiga simu na kupewa maelekezo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

    Habarini za usiku wapendwa Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

    Always people are there to hear the negative stuffs. 😁KID
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuvi wa Biblia, ni kweli Mfalme Daudi alipata UKIMWI kutokana na kupenda wanawake ovyo?

    Hongereni na majukumu wanajukwaa. Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu UKIMWI. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo...
  16. Juandeglo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mgonjwa wa Ukimwi

    Full blood picture in display Viral Load kwa maabara zetu za bongo?? Au ni vipimo viwili tofauti??
  17. Zegota

    JamiiForums Tanzania Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

    Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio mazingira hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya nishndwe kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya kuzorota mwili. Binafsi nina utaratibu wa kupima afya...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Social Media Vs Maambukiz ya UKIMWI kwa vijana?

    Kumekuwepo kwa social media platforms na Apps za kueneza ngono hasa kwa vijana Badoo, nairobiraha, insta, Grindr je Kuna jitihada zote za kupunguza Maambukiz kwa vijana. Maana vijana wanaloweka bila kinga. Na Kampeni za Kujikinga na UKIMWI zimesahaulika kabisa. Tunaandaa taifa la waathirika...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo: Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya Takwimu hizi za Wizara ya Afya kenya zinabainisha 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya (Januari...
  20. Quimica

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

    Habari za usiku wanajamii Forums! Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi. Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya...
Back
Top Bottom