ujuzi

  1. V

    JamiiForums Tanzania Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

    Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site foremen supervising 10 labour Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana ujuzi jinsi ya kujipatia kipato kila siku

    Kwema wana jukwaa mko njema Mimi,ni muhanga wa kukosa ajira nakuja mbele yenu kupewa muongozo kwa wajuzi wa mtaani Ni jinsi gani mbinu,gan wanatumia kupata riziki ya kila siku na kutimiza majukumu mbalimbali kama chakula kodi na mambo mengine Nahitaji connection ya mchongo wowote niko dsm...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Vijana, someni fani zinazowaachia ujuzi

    Vijana,someni fani zinazowaachia ujuzi, haya mambo ya kuchagua fani ambazo ni ngumu kujiajiri ni sawa na kupoteza fedha zako. Chukulia mfano, labda umesoma mambo ya historia au fani zenye uelekeo huo mpaka ukafikia labda uprofesa; kwa fani hiyo, usipoajiriwa utaonekana ni sawa na mtu ambaye...
  4. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi: Kabla ya kuoa, dada zetu na mama zetu wanayapokeaje mawazo ya sisi kutaka kuoa?

    Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku! . . niende moja kwa moja kwenye mada, kwa mara ya kwanza kusema nyumbani kuwa unataka kuoa, dada zako na mama walichukuliaje?. . . binafsi mimi ni kijana wa miaka 30 kwa sasa, nina mchumba tayari, lakini imekuwa kila nikisema nyumbani hata kwa...
  5. Frank Akile

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu umuhimu wa kuwa na ujuzi wa kidijitali

    FAHAMU UMUHIMU WA KUWA NA UJUZI WA KIDIJITALI. Hatimaye tumeingia katika dunia yenye machaguo mawili pekee ambayo ni 'Nenda dijitali au rudi nyumbani'. Machaguo haya yana maana ya kwamba, dunia ya sasa inaendeshwa kama sio kujiendesha yenyewe katika mifumo ya kikompyuta na au kiintaneti. Dunia...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Bado tunafanya maonesho katika kuwajengea vijana ujuzi wa TEHAMA

    BADO TUNAFANYA MAONESHO KATIKA KUWAJENGEA VIJANA UJUZI WA TEHAMA Miaka michache nyuma kabla ya kuingia kwenye karne ya 21 kauli mbiu ya Karne ya 21 kuwa ni karne ya sayansi na teknolojia ilitamalaki katika midomo ya watu wengi sana ulimwenguni na sisi kama nchi watawala walihubiri sana juu ya...
  7. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kuuza Kipaji, Ujuzi au Taaluma yako

    Ni wazi kuwa kwa sasa kuna tatizo kubwa la ajira nchini. Ni jambo la kawaida kabisa Watu 1000 kugombea nafasi tano za kazi. Rejea Ajira za Elimu na Aya zilizotolewa na Tamisemi mwaka Huu 2021. Pamoja na changamoto nyingi za Kujiajiri lakini tunaweza kuanza taratibu hatimaye Kujiajiri kupitia...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Asome ipi kati ya kozi hizi ili kupata ujuzi na maarifa ya kujiajiri?

    Naomba tushauriane katika hili wakubwa. Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi 1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting 2. Bachelor of Business Administration 3. Bachelor of Computer Application
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni TBC kwenda Uganda kuongeza ujuzi wa uandaaji wa vipindi

    Nimefurahi kuona TBC walivyofanya uamuzi wa kwenda Uganda kujifunza namna ya uandaaji wa vipindi vya TV na urushaji wa matangazo. Kongole kwao. Kwa kweli ilifika mahali watanzania walio wengi hawapendi kuangalia televisheni za humu ndani kutokana na kukosa ubora wa vipindi, kukosa maudhui...
  10. Digital base

    JamiiForums Tanzania Angalia ujuzi wangu na uzoefu katika usafi hasa uchafu sugu ikikupendeza tushirikiane au nipe nafasi kiwandani, ofisini au hotelini kwako

    Habari ya leo wapendwa, Mimi ni mjasiriamali najihusisha na usafi wa aina mbalimbali nimejikita zaidi katika uchafu sugu. Mfano: 1.Masink yote yaliyo kuwa na uchafu sugu Kama unjano ama kufubaa nang'arisha na kurudisha kuwa jipya kabisa. 2.Tiles za ukutani ama za chini zilizo na...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana ujuzi wa kuigiza; hiki kisa nimehadithiwa

    Kuna dada msomi mwenye career yake, mume na watoto wawili. Wana nyumba nzuri watoto wanasoma shule nzuri. Maisha yake aliyaona yamekamilika. Mpaka siku alipokua na shida na msichana wa kazi. Alikuja binti alikabithiwa na Mkatekista kanisani. Binti mlugaluga, amevaa yeboyebo, Amesuka...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi kuhusu tatizo hili la e-mail naomba msaada!!!

    Kwa miezi sasa nimekuwa kila nikifungua e mail yangu nakutana na email za watu wakiniomba kazi wakiwa wameambatanisha na CV zao!Nadhani labda kuna watu wasiowaadilifu wametumia email address yangu kwenye matangazo yao ya kazi!Ninaomba mwenye ujuzi wa namna ya kufanya anijuze ili watu wasiendelee...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Dinasours special thead: unajua lolote kuhusu wanyama kale? Tupeane ujuzi.

    Moderator naomba rekebisha heading hapo juu sehemu ya { thead = thread}
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania JKT hata ukae miaka 5 hakuna ujuzi wa maana utakaoupata kiasi kwamba utaleta challenge mtaani

    Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita . VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani. VETA cheaper ukilinganisha...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa magoal keeper

    Tazama hapa ujuzi wa magoal keeper. Je, nani kaonyesha kipaji?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Skills (ujuzi) upi ni muhimu kwa vijana kuwa nao kwa kipindi hiki cha hali ngumu?

    Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kwamba kujulishana skills mbali mbali za kusomea au kujifunza ili kuendelea kupigania maisha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kizuri kama kufanya biashara au kilimo kwenye makaratasi ukisaidiwa na calculator, lakini kiuhalisia inaweza isewe hivyo

    Nilipomaliza chuo sikutaka kuajiriwa. Nikaona nijiajiri ili niweze kupata utajiri wa haraka ndani ya miaka michache. Nikafanya biashara ya kwenye makaratasi nikaona nitapata faida kibao huku nikisaidiwa na calculator yangu. Nikaomba mtaji home, huyo nikaenda Songea kununua mahindi na kupeleka...
  18. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Database rasmi kwa ajili ya wote wanaofanya kazi zisizotegemea ujuzi wowote

    Hello JF, Kwa muda mrefu sasa malalamishi ya housegirls kunyanyaswa katika nchi za kiarabu kama Oman, Turkey, etc. yamekua mengi. Ninachoona hapa ni kutokua na taarifa ama records to identify those at risk. Kama ilivyo vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), then kuwe na...
  19. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Jukumu la kampuni za simu katika kuwajengea Watanzania ujuzi wa kidijitali

    Inafahamika wazi kuwa teknolojia imebadili maisha ya binadamu na mabadiliko mengi zaidi bado yanaendelea kuja. Tanzania ni moja ya nchi ambamo maendeleo ya kiteknolojia yanazidi kuonekana yakibadili maisha ya watu siku hadi siku, mfano kuongezeka kwa matumizi ya mtandao wa intaneti. Ukitazama...
  20. Scars

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi namna ya ku-unlock network hizi simu za kijapan SHARP ANDROID ONE S3-SH

    Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane...
Back
Top Bottom