Angalia ujuzi wangu na uzoefu katika usafi hasa uchafu sugu ikikupendeza tushirikiane au nipe nafasi kiwandani, ofisini au hotelini kwako

Digital base

Senior Member
Jul 19, 2020
126
189
Habari ya leo wapendwa,
Mimi ni mjasiriamali najihusisha na usafi wa aina mbalimbali nimejikita zaidi katika uchafu sugu.
Mfano:
1.Masink yote yaliyo kuwa na uchafu sugu Kama unjano ama kufubaa nang'arisha na kurudisha kuwa jipya kabisa.
2.Tiles za ukutani ama za chini zilizo na uchafu sugu ama kufubaa pia nang'arisha na kurudisha kuwa mpya kabisa.
3.Rangi za kuta zilizo kuwa na uchafu sugu ulio pelekea rangi kupauka kutokana na uchafu kuwa mwingi nang'arisha kwa dawa maalum inayo ondoa uchafu wote.
4.Madirisha ya Alminium yaliyo chafuka na kupauka pia nang'arisha kwa dawa maalum inayo ondoa madoa yote.
5.Sofa zilizo na uchafu sugu ulio pelekea rangi kupauka pia nang'arisha kwa dawa maalum inayo ondoa uchafu wote na kurudisha mng'ao kama mwanzo.
6.Nafanya Fumigation
Kuua wadudu wagumu kama kunguni, mende, viroboto, mchwa na aina zote za wadudu maeneo yote ndani na nje.
7.Natengeneza dawa za usafi aina zote,mfano za kung'arisha masink, tiles,rangi,vioo,dawa za kusafishia sofa dawa za kuua wadudu kwa sekunde 30 au dakika 1 tu.
Pia sabuni za mche,sabuni za unga, sabuni za maji za kunawia,kuoshea vyombo,za kufulia nguo na kudekia chooni ambazo zina ant.bacteria ama za kudekia Flow kawaida.
Mawasiliano yangu ni 0748062691 au email geofrewille@gmail.com.
Hapo chini ni picha za mfano wa kazi nilizo fanya hapo awali before cleaning and after cleaning.
IMG_20210429_145944_264.jpg

IMG_20210430_113431_172.jpg
IMG_20210115_121652_976.jpg
IMG_20210115_130330_705.jpg






IMG_20210115_121652_976.jpg
 
Nyumba yangu ina madirisha 12 ya aluminium. Bei gani kunifanyia usafi madirisha yote??? Nipo Moro
Nipigie kwa namba yangu hii 0748062691 mkuu tutaongea hamna tatizo nashukuru pia karibu sana 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom