ujuzi

  1. Joseph Mathew

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 natafuta kazi yoyote ya halali

    Hello wana JF, Mimi ni kijana nimemaliza form four 2018, natafuta kazi nina ujuzi wa kutumia computer, pia nafanya kazi yoyote YA HALALI , pia nafanya kazi yoyote inayohsu mambo ya computer. Msaada wenu wana JF niko Dar Gongo la Mboto
  2. Baba Jadecah

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau. Naomba mwenye ujuzi wa kuinstall application kwenye PC

    Naomba mwenye huo ujuzi wa kuinstall aps mbalimbali kwenye pc, mfano dictionary,bible nk. Au kama kuna link ya kuinstall hizo Apps naomba msaada na maujuzi zaidi, kumbuka sihitaji kuinstall bluestalk maana kwenye pc yangu inazingua sana yaani bluestalk inakuwa slow sana kuload engine...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Tabibu akamatwa kwa kumuomba mgonjwa rushwa na kufanya upasuaji asio na ujuzi nao

    Katika hali ya kushangaza Tabibu Msaidizi Eliud Humbo anashikiliwa na Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) baada ya kufanya upasuaji asio na ujuzi nao Humbo ambaye andaiwa kumfanyia Upasuaji wa ngili mgonjwa mmoja ambaye alipewa rufaa ya kwenda hospitali ya mkoa Mkuu wa Mamlaka...
  4. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hadi leo NIDA hawana ujuzi wowote wa mtu kuijua namba yake kimtandao?

    Nimefikiria kwa kina taaruki ya NIDA kutofanikisha waliojiandikisha kupata namba zao hadi sasa. Nimefikiria kwa kina vyuo vyote vya IT tulivyonavyo. Nimefikiria uwezo wa kiuchumi wa Tanzania. Nimefikiria uwezo wa kiuongozi na kiutawala tulionao. Nimefikiria taaruki ilivyo hadi sasa...
  5. Director Chuma

    JamiiForums Tanzania Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

    Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
Back
Top Bottom