Kuna watu wana ujuzi wa kuigiza; hiki kisa nimehadithiwa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Kuna dada msomi mwenye career yake, mume na watoto wawili. Wana nyumba nzuri watoto wanasoma shule nzuri. Maisha yake aliyaona yamekamilika. Mpaka siku alipokua na shida na msichana wa kazi.

Alikuja binti alikabithiwa na Mkatekista kanisani. Binti mlugaluga, amevaa yeboyebo, Amesuka tweede kilioni na nguo ameweka kwenye mfuko wa Rambo. Binti haongei hata Kiswahili vizuri kwenye R anaweka L.

Wamefika nyumbani amemfundisha kazi, alimuacha kwa amani. Asilolijua binti ni mchepuko wa mume wake na alisoma mpaka kidato cha sita ila hana ajira. Ana tiririka Kiingereza na Kifaransa vizuri tu.

Kitu nisichoelewa sijui Mkatekista aliufahamu mchezo mzima!
-----
Ni hivi, hii familia inaishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu vya kulala. Master’s bedroom na kila mtoto ana chumba chake. Nje kuna servants quater ambayo kwa makusudi farther house aliitoa kwa mlinzi wao.

Mama alishauri dada anunuliwe kitanda alale na binti yake. Mume aliamua kununua double decker na kumwambia wa kiume alale juu wa kike chini ili dada apate chumba chake.

Maisha yaliendelea. Dada akiulizwa umepika nini leo anasema mahalage. Mama ali under value mdada mpaka kumteta Kizungu na mume we lakini mume hajibu.

Ni baada ya dada kupata mimba. Mama alimchapa kibao katika interrogation ya kumtaja mhudumu. Hii ni baada ya kuishi pamoja kwa miaka miwili na mshahara wa laki mbili kwa mwezi. Dada wa kazi kufungua don’t you dare touch me again! Mama anauliza hiki Kizungu ulijifunza wapi ndipo kuambiwa CV halisi ya dada wa kazi na mhusika wa hii mimba ni mume wako.
 
Yaani katekistaa kam......,.dah hapo inamaana unakimbizwa na huyo katekista na mkewake pole sana ila ukishawachomoka fanya kutuelewesha vzr
 
Kuna dada msomi mwenye career yake, mume na watoto wawili. Wana nyumba nzuri watoto wanasoma shule nzuri. Maisha yake aliyaona yamekamilika. Mpaka siku alipokua na shida na msichana wa kazi.

Alikuja binti alikabithiwa na Mkatekista kanisani. Binti mlugaluga, amevaa yeboyebo, Amesuka tweede kilioni na nguo ameweka kwenye mfuko wa Rambo. Binti haongei hata Kiswahili vizuri kwenye R anaweka L.

Wamefika nyumbani amemfundisha kazi, alimuacha kwa amani. Asilolijua binti ni mchepuko wa mume wake na alisoma mpaka kidato cha sita ila hana ajira. Ana tiririka Kiingereza na Kifaransa vizuri tu.

Kitu nisichoekewa sijui Mkatekista aliufahamu mchezo mzima!
1619906317217.png
 
Ni hivi, hii familia inaishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu vya kulala. Master’s bedroom na kila mtoto ana chumba chake. Nje kuna servants quater ambayo kwa makusudi farther house aliitoa kwa mlinzi wao.

Mama alishauri dada anunuliwe kitanda alale na binti yake. Mume aliamua kununua double decker na kumwambia wa kiume alale juu wa kike chini ili dada apate chumba chake.

Maisha yaliendelea. Dada akiulizwa umepika nini leo anasema mahalage. Mama ali under value mdada mpaka kumteta Kizungu na mume we lakini mume hajibu.

Ni baada ya dada kupata mimba. Mama alimchapa kibao katika interrogation ya kumtaja mhudumu. Hii ni baada ya kuishi pamoja kwa miaka miwili na mshahara wa laki mbili kwa mwezi. Dads wa kazi kufungua don’t you dare touch me again! Mama anauliza hiki Kizungu ulijifunza wapi ndipo kuambiwa CV halisi ya dada wa kazi na mhusika wa hii mimba ni mume wako.
 
Kuna dada msomi mwenye career yake, mume na watoto wawili. Wana nyumba nzuri watoto wanasoma shule nzuri. Maisha yake aliyaona yamekamilika. Mpaka siku alipokua na shida na msichana wa kazi.

Alikuja binti alikabithiwa na Mkatekista kanisani. Binti mlugaluga, amevaa yeboyebo, Amesuka tweede kilioni na nguo ameweka kwenye mfuko wa Rambo. Binti haongei hata Kiswahili vizuri kwenye R anaweka L.

Wamefika nyumbani amemfundisha kazi, alimuacha kwa amani. Asilolijua binti ni mchepuko wa mume wake na alisoma mpaka kidato cha sita ila hana ajira. Ana tiririka Kiingereza na Kifaransa vizuri tu.

Kitu nisichoekewa sijui Mkatekista aliufahamu mchezo mzima!
Mtekekesista ni mkushi
 
Ni hivi, hii familia inaishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu vya kulala. Master’s bedroom na kila mtoto ana chumba chake. Nje kuna servants quater ambayo kwa makusudi farther house aliitoa kwa mlinzi wao.

Mama alishauri dada anunuliwe kitanda alale na binti yake. Mume aliamua kununua double decker ma kumwambia wa kiume alale juu sea kike chini ili dada apate chumba chake.

Maisha yaliendelea. Dada akiulizwa umepika nini leo anasema mahalage. Mama ali under value mdada mpaka kumteta Kizungu na mume we lakini mume hajibu.

Ni baada ya dada kupata mimba. Mama alimchapa kibao katika interrogation ya kumtaja mhudumu. Hii ni baada ya kuishi pamoja kwa miaka miwili na mshahara wa laki mbili kwa mwezi. Dads wa kazi kufungua don’t you dare touch me again! Mama anauliza hiki Kizungu ulijifunza wapi ndipo kuambiwa CV halisi ya dada wa kazi na mhusika wa hii mimba ni mume wako.
Daaadeq....
 
Okii sawa tumekuekewa kiufup maisha ni hayahaya fanya unachopenda na hiyo ndio dawa ya mwanamke anayejisahau kwenye ndoa yake ila mkuu bado sijakuelewa nimechangia tu kwa uzoefu wa hizo mamboozi
Hujaelewa nini nikueleweshe?

1. hali ya maisha ni ngumu sana mpaka six form anakua house maid

2. Treat everyone with respect

3. Kikulacho ki nguoni mwako.
 
Ni hivi, hii familia inaishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu vya kulala. Master’s bedroom na kila mtoto ana chumba chake. Nje kuna servants quater ambayo kwa makusudi farther house aliitoa kwa mlinzi wao.

Mama alishauri dada anunuliwe kitanda alale na binti yake. Mume aliamua kununua double decker ma kumwambia wa kiume alale juu sea kike chini ili dada apate chumba chake.

Maisha yaliendelea. Dada akiulizwa umepika nini leo anasema mahalage. Mama ali under value mdada mpaka kumteta Kizungu na mume we lakini mume hajibu.

Ni baada ya dada kupata mimba. Mama alimchapa kibao katika interrogation ya kumtaja mhudumu. Hii ni baada ya kuishi pamoja kwa miaka miwili na mshahara wa laki mbili kwa mwezi. Dads wa kazi kufungua don’t you dare touch me again! Mama anauliza hiki Kizungu ulijifunza wapi ndipo kuambiwa CV halisi ya dada wa kazi na mhusika wa hii mimba ni mume wako.
Dah...huyo mume apewe pongezi. Hiyo ndio dawa ya mwanamke...gegeda mbususu nyingine
 
Story nzuri ila umehadithia kiufupi sana,by the way nmeelewa kwamba dada wa kazi alikuwa mchepuko wa jamaa,ila aka act kama housemade,ila ungeidadavia kiurefu pamoja na matukio yote jinsi huyo mke alivyogindua ingekuwa poa sana!
 
Ndoa inabakia kuwa ni taasisi ngumu sana.....kuishi kwenye hii taasisi unatakiwa uwe na moyo wa chuma wenye kiwango cha juu cha upendo na sehemu ya unafiki huku ukifunikwa na bati gumu la UVUMILIVU...........

MUNGU AWAJAZE NGUVU WANANDOA WOTE.......
 
Sasa hivi ndiyo ninaelewa umuhimu wa kuwa na servants quater, tena ikiwezekana unajenga vyumba viwili choo bafu na sebule yao. Hata ukiwa na wafanyakazi wa kike na wakiume unawaweka.

Nyumba zote za wakoloni zilikuwa na servants wuater
 
Back
Top Bottom