Asome ipi kati ya kozi hizi ili kupata ujuzi na maarifa ya kujiajiri?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,309
2,000
Naomba tushauriane katika hili wakubwa.

Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi

1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting

2. Bachelor of Business Administration

3. Bachelor of Computer Application
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
33,044
2,000
Sayansi ya kujiajiri ni ngumu kidogo kwa sababu ili mtu ajiajiri na afanikiwe ni lazima ajiajiri katika kitu ambacho ana passion nacho.Je,ana passion na kitu gani?Je,kwenye hayo masomo hapo juu ana passion na masomo gani?
 

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,309
2,000
Huyu ni mtumishi KWA sasa au BADO hajaajiriwa????

Kama ni mtumishi aje tusome accounting maana atafanyiwa recategorization baada ya kumaliza

Kama si mtumishi asome business administration, ipo wide sana
Mkuu embu fafanua vizuri hapa. Nipate maelezo ya kushiba
 

MATONYA new

Member
Jan 21, 2021
20
75
Mkuu embu fafanua vizuri hapa. Nipate maelezo ya kushiba
Kama ni mtumishi asome BA ACCOUNTING huyu atabadilishiwa muundo na kuwa Afisa mahesabu na kama halmashaur inao upungufu mkubwa wa wahasibu anakuwa mhasibu wa halmashaur
Akisoma CPA atakuwa mhasibu au internal audit wa halmashaur

Na halmashaur nyingi zinao upungufu mkubwa wa wahasibu na maaudit

Kwenye kujiajili hapo ni kwamba mhasibu mwenye CPA anaweza akafanya external audit kwenye kampuni za watu, pia akawa consultant
 

mbarika

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
2,716
2,000
Naomba tushauriane katika hili wakubwa.

Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi

1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting

2. Bachelor of Business Administration

3. Bachelor of Computer Application
We si ulileta uzi hapa kunanga watu walioajiriwa???

Mwambie ajiajiri aachane kusoma hiyo Ada atumie Kama mtaji

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
13,350
2,000
Kama kusoma hizo course zinakupa wigo mpana wa kujiajiri sidhani kama ni kweli.

Kama una msingi wa sayansi, endelea na hiyo computer. Jikite sana mambo ya simu na computer, pesa ndogondogo hazitakupiga chenga wewe.
 

coolboyjden

JF-Expert Member
Apr 10, 2021
243
500
kujiajir n mentality yako na passion kweny kitu unacho kitaka ila elimu itakusaidia kuongeza thinking capacity tu (fikirishi katika jambo) elimu yetu ni yakukaririshana sn haikupi uwezo wakujiajir
kubwa angalia fursa unayotaka kujiajir ndio ukasome kwa ajili yakuongeze ujuzi.
elimu ya kufundishwa biashara na mtu hana hajawahi kufanya hata biashara sababu tu alifaulu ni tatizo
nakumbuka mwalimu wetu mmoja alikuwa anashare experience yake ya field tu hajawah kufanya kazi alafu anatmba na CPA (T)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom