ujumbe

  1. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa wagombea wote wa kata ya Makutupora

    Salaam wananchi wenzangu wa Kata ya Makutupora. Ni mara chache sana natumia jukwaa hili kueleza mambo yanayotendwa kwenye kata yetu yenye rasilimali zote muhimu kwa maendeleo ya umma wetu. Leo nitumie fursa hii kuwaeleza yale yaliyofanyika kwa kipindi hiki cha vuguvugu la uchaguzi ndani ya...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

    Kila kona unayotembelea ndani ya nchi hii, hakuna habari nyingine unayokutana nayo, bali ni malalamiko ya vyama vya upinzani, kufanyiwa hila katika zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuenguliwa wagombea wake kugombea katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tafakari na Kipanya: Picha hizi za mafiga zina maana gani?

    Habari ya muda huu wakuu? Katika pitia pitia yangu mitandaoni, nikakutana na hii picha kutoka kwa Bwana Masoud Kipanya. Nmekaa nimetafakari maana ya picha hii sijapata jibu kamili. vipi kwa upande wako unahisi picha hii ina maana gani wakuu? ?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka kisiwa Juji "Tukishindwa kutofautisha maslahi ya Taifa, Tutakuwa waashi wa kugeuza mawe kuwa Malaika"

    Hii inaitwa Made in Kisiwa Juji.. Yaani mpaka leo mwaka 2019 nachelea kusema kwamba hatujafanikiwa kujuwa maslahi ya Taifa ni nini na najuwa kuna mahali tuliteleza. Fuatilia haya maelezo yaliyonukuliwa mahali. Sauti kutoka kisiwa Juji. " Kila aingiae madarakani anakuja na viroba vya vionjo na...
  5. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Chege zina ujumbe murua kuliko za Diamond

    Nyimbo za Diamond wa sasa ni takataka tupu na ndio zimepata wafuasi (siyo true fans wa muziki) wengi, maajabu. Nimelinganisha na nyimbo za Chege, huyu bwana ni mwanamziki. Anaimba muziki haswa wenye kila kitu in terms of qualities. Diamond wa sasa anaimba takataka zinazo haribu vijana wengi...
  6. bowlibo

    JamiiForums Tanzania Usajili wa laini za simu kwa alama za vidole against ujumbe uliozagaa leo

    Wadau habari za wakati huu. Naenda kwenye mada moja kwa moja. Leo nimepokea jumbe zenye maana na angalizo jumuishi kama hiyo attachment inavyojieleza. Sasa swali ninalojiuliza ni kwamba iwapo mimi nimeshajisajili kwa kuchukuliwa alama za vidole kwa nini mtu mwingine ajisajili kwa kutumia namba...
  7. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Uhuru Kenyatta ni mfupi lakini mzito

    Kaka jirani anasema:
  8. Apollo

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Furaha na Mateso katika Maisha

    Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
Back
Top Bottom