Watanzania fuatilieni mazishi ya George Floyd kuna ujumbe muhimu unatolewa kwa wanasiasa duniani kote!

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,035
2,000
Unamtetea Mmarekani Mweusi Unashindwa Kumtetea Mtanzania Mwenzio Kisa Political Ideology!

Martin Lutha King Jr Anasema" Life's most persistent and urgent question's "what are you doing for others"?

Anasema tena " A riot is the language of the unheard,

Love is the only force capable of transforming an enemy into a friend.

Na anakazia Oppressed people cannot remain oppressed forever. so tutafika tu siku moja Marekani walipuuza miaka ile ila leo wanayakumbuka.
 

Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,968
2,000
Alieuawa ni mtu mweusi lakini naona nchi za wazungu ndio ziko mstari wa mbele kwenye maandamano, na kupiga kelele. Nchi za kiafrika kimyaaaa....
Kama zilikaa kimya Kama mjusi kabanwa mlango huku wakichungulia dirishani alipouwawa Gadaffi ndipo nilipoudharau umoja wa Africa nikaona ni sawa tu na bunge la ndugai.Hali kwa umoja wao wangeweza kumuokoa Gadaffi. Umoja wa Africa ni sawa na kijiwe cha kahawa mkishakunywa mnatawanyika.
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
8,663
2,000
Alieuawa ni mtu mweusi lakini naona nchi za wazungu ndio ziko mstari wa mbele kwenye maandamano, na kupiga kelele. Nchi za kiafrika kimyaaaa....
Tunaogopa mkuu, huku wakina Daud,Akwili, Imrani waliuawa na hakuna kilichotokea
 

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,579
2,000
Nyie CCM kweli mnadhubutu kutuambia tufuatilie maziko huko na tumwache Mbowe mliotaka kumnanii?
Lissu, Alphonce mawazo,
 

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,579
2,000
mleta mada umejifunza nini ukihusisha na mauaji ya kisiasa hapa Tz?
OKWI BONA NA FELIX SUNZU kwanza nimekumis sana jukwaaani, tunapishana sana, na pia huyu mleta mada ni MATAGA , ila mgeni, yeye anataka haki za wamarekani ila za watanzania hana habari, kwenye vitabu vya riwaya huyu angeitwa ZUZU ila kwa jukwa hili sijui watamuitaje
 

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,421
2,000
Sawa lakini kwa sasa tushughulike na Lissu na Mbowe kuna ukosefu mkubwa wa haki za binadamu Tanzania.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom