ujumbe

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Said Michael katika kibonzo

    Kuna mmoja wenzake wanamalizia yeye anataka kuanza. Mmoja hatumii nguvu nyingi lakini yuko katika mbili bora.
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lunguza: Wakina mama wametoa ujumbe wao kwa mgombea Urais Tundu Lissu kwa shairi

    Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu. Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika. Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wa Mungu kwa Lissu na Magufuli ni katika Yeremia

    UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI Na, Robert Heriel ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word) Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya nimeyaona kwa macho yangu, na kuyashuhudia mimi mwenyewe wala sio kwa kuhadithiwa. Je ni nani...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

    Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Epuka upotoshaji mpya wa wanaCCM

    EPUKA UPOTOSHAJI MPYA WA WANA CCM Amani iwe nanyi wadau Leo napenda kuwaelimisha watanzania wenzangu juu ya upotoshaji mpya wa wana Ccm kwa watanzania. Ukipata ujumbe huu sambaza kwa mwingine kwa namna yeyote unayoweza, iwe Facebook, Twitter, Insta au Whatsup. Kumetokea maneno kutoka kwa wana...
  6. Lukonge

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zingatia, Ukifanya chochote zaidi ya kuweka tiki kwa unaemchagua, umeharibu kura yako

    Salaam wanaJamiiForums na watanzania wote kwa ujumla wetu. Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya wiki mbili zijazo, tunaenda kufanya uchaguzi wa viongozi mbali mbali kwenye Taifa letu. Pamoja na mengi yaliyokwishaongelewa na kampeni zote zilizofanyika, kuna jambo moja ambalo halijapata mjadala...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CHADEMA Kikanda ni mbadala wa TV na redio, ujumbe unafika hadi vijijini kwa muda mmoja

    Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni. Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni...
  8. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Video za nyimbo 10 bora za wakati wote zilizoweza kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa

    1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka mwisho,nimependa ujumbe unaotoka kwenye huu wimbo ni wimbo ambao ukipigwa hata kama upo pembeni na mama watoto...
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wangu kwa Watanzania wote kuelekea 28/10/2020

    Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi mema na Taifa hili poleni Kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Ndugu zangu Watanzania hakuna asie juwa katika kipindi cha uchaguzi Raia/wananchi hutumika kama mtaji wakisiasa na ndio maana kila chama hupenda kuonyesha wingi wa hadhira imekwenda shuhudia mikutano...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Aliyelewa ujumbe wa Kipanya leo atusaidie.

  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ujumbe katika kibonzo cha Kipanya

  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

    Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo. Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nitafikishaje huu ujumbe kwa DC Kisarawe

    Mi mkulima Kisarawe vijijini. Mimi sio mzawa ila nimehamia huko muda sio mrefu kulima, Kijiji kinaitwa Yombo Lukinga. Kumekuwa na tatizo la wafugaji ambao ni ndugu zetu wamang'ati kulisha mifugo yao kwenye maeneo ya makazi ya watu na hata mifugo yao kuingia na kuharibu mashamba yetu. Na pia...
  14. Scars

    JamiiForums Tanzania Dizasta vina: Ujumbe uliojificha wenye kufikirisha kwenye wimbo wake mpya wa "the verteller"

    Inafaa kunena, inafaa kunena labda ni muhimu sijui, labda kusimulia si karama kama wanavyo sema Ikiwa msimuliaji huingia hatarini, labda kweli baraka ni laana njema Wasikilizaji naskia wana ndoto na wenyewe, si uongo hadithi nzuri ndio kilele kwa wasikilizaji ila ndoto ya msimuliaji Ndoto ya...
  15. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu waleo..

    Sitii neno..😂
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hizi picha zinatoa ujumbe gani wakati huu wa kampeni?

    Mara kadhaa nimesikia kwamba ili mambo yako yasikwame katika awamu hii na hasa kwenye kipindi hiki cha kampeni basi kazi ni ndogo tu , chukua sare za ccm hata kama hazikuenei wewe zivae halafu fanya lolote , iwe magendo au uharamu wowote hutaguswa na yeyote , si polisi wala mgambo wa jiji .
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya ana ujumbe gani leo?

  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya leo kina ujumbe gani?

  19. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Dkt. Magufuli na chama changu cha CCM

    UJUMBE MZITO KWA MAGUFULI NA CHAMA CHANGU CHA CCM Mheshimiwa Rais wangu, Pole sana kwa majukumu yako ya uchaguzi. Unajitahidi sana kufanya campaign ya ushindi, kwa bahati mbaya mambo hayaendi vizuri. Napenda ni kosoe na nitoe ushauri, tunao muda wa kuwe kufanya mabadiliko yenye manufaa, na...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama. "Wanaohama CCM...
Back
Top Bottom