ujumbe

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shiriki katika historia hii itakayoandikwa siku ya upigaji kura

    Si wananchi, si Polisi, si Wanajeshi si Vyombo vya Usalama si wafanyakazi serikalini,wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo mbioni tu wakitakiwa kuilinda CCM, ambayo bila ya kuwatisha watu kwa barua za kuhudhuria mikutano na...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Madaraka hayaondoi udhaifu. Madaraka si chanjo ya kuzuia kufanya makosa

    Ujumbe wa baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____________________ Mwaka 2015 hatukuchagua malaika kuwa serikali. Tulichagua watu wenye ubinadamu. Watu hao na udhaifu wao wakaunda serikali. Serikali iliyoundwa na binadamu dhaifu, haiwezi kuwa takatifu kama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe maalum kwa ndugu Polepole: "Maalim Seif ni sauti ya Zanzibar"

    Mada inahusika. Wakati akitaja majina ya wateule wa nafasi ya kugombea uwakilishi kwa Zanzibar, Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Polepole alisikika akitumia neno Mzee yule akimlenga Maalim Seif eti kuacha kuwataja viongozi wao na kufika hatua ya kusema ni onyo la mwisho na vyenginevyo...
  4. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Unaodaiwa kuwa “Waraka wa Shura ya Maimamu” kwa Gwajima na Lukuvi

  5. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

    Hello JF. Ebana nina mtihani hapa ndugu zangu kuna huyu bibie niko naye, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda, akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. Cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha. So nimepanga...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

    Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania? Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa...
  7. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu ni balaa, anajua kuwasilisha ujumbe kwa hadhira, anajua kukera kwa kukupiga na ukweli

    Sijui Polepole wa CCM na wafuasi wake LB7 wa mitandaoni wanaweza kuja na majibu gani katika hoja hizi hapa. Watu sasa ndiyo wanaanza kupata na kuona ukweli wa upande wa pili wa shilingi wa CCM na Magufuli wao. Hiki ndicho kilichokuwa kinazuiwa na kufichwa na watawala ili wananchi wasielewe...
  8. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kwa picha ya kiroho, Ilikuwa lazima tukio la jana litokee uwanja wa uhuru. Mungu anazidi kupeleka ujumbe kwa CCM

    Namejaribu kuangalia tafsiri ya picha kwa kilichotokea jana. Adam Mchomvu kavalia shirt iliyoandikwa 1961 ambayo ndo siku ya Uhuru. Naamua kumuweka kama mwananchi anayependa maudhui ya kwanini tulipata uhuru mwaka 1961. Jukwaani yupo Emmanuel Mbasha amevalia mavazi ya kada wa CCM na kofia ya...
  9. Mchezaji

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ujumbe wa Museveni: Ugandans should stop going into Rwanda

    President Yoweri Museveni has issued an advisory for Ugandans to stop traveling to neighboring Rwanda, in yet another twist in the ongoing diplomatic negotiations between the two countries. President Museveni this week ordered Resident District Commissioners (RDC) of the districts neighboring...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe maalumu kwa vyama makini vya Upinzani hasa ACTWazalendo na CHADEMA kuelekea Oktoba, 2020

    Mada inahusika. Napenda kuwapa ujumbe huu maalum kwenu mkiona inafaa kuuzingatia kuelekea uchaguzi wa Oktoba, 2020. i. Senario za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na kilichotokea , ziwape mbinu mia moja zaidi mbele kuhakikisha mnakwepa mitego yote ya CCM, NEC, ZEC na mawakala wao ndani na...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe kwa CCM: CHADEMA wanajua wanachokitaka na wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka

    Kwa maneno yao, wameonewa kiasi cha kutosha, wamefungwa kiasi cha kutosha, wamepigwa risasi kiasi cha kutosha. Wako tayari kuingia barabarani watakapo dhurumiwa kura. Sasa basi. Imetosha.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Mchoraji King Kinya anataka kutoa ujumbe gani kwetu?

    Katuni hii inatoa ujumbe gani kwa watanzania?
  14. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka TTCL

    Dahh eti "Tumenogesha zaidi, Mpendwa Mteja furahia maboresho ya vifurushi vyetu vya Data, sms na dakika kwa kupiga *148*30# kujiunga." BORA mninyonge tuh
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

    Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi. Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda. Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
  17. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ya Sonjo na mie kumpigia kura Membe hata kama nitakuwa peke yangu

    Majibu yalimtoka Mkulu kujibu hoja ya MNEC kutoka kama Kanda za Nyanda za Juu ilikuwa inamgeukia Mkulu mwenyewe. Kwamba mtu yeyote ana nafasi ya kujiunga Chama chochote cha sisasa na ndiyo maana wale wapinzani walikuwa na haki ya kujiunga na CCM. Mkulu hapo naona hakuwa anajibu hoja - hoja...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku. Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe. Chanzo: Channel ten. Maendeleo...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maneno ya khanga yana ujumbe maalum kwa walengwa

  20. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Katuni Hii Inafikirisha Sana, ina Ujumbe Mzito

    Jionee mwenyewe.
Back
Top Bottom