Ujumbe huu kwenye PC una maana gani?

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,175
22,572
Wakuu PC yang window 7 inatumia. Haifungui program baadhi ikiwemo virtual DJ na zingne nimeistall vizuri ila wakati wa kuopen inaandika hivi.

"Dorectx failed to initialize please install the correct drivers for your video card "

Naomba kueleweshwa maana nimeweka UC mini browser imekubali mbona why virtual iandike hivyo?
Chief-Mkwawa na wajuba wenzako mnahitajika
 
Unamaanisha directX? Ipo dx 9 na 11, sema 11 inakuja na win 7 utatakiwa tu ku update graphics drivers.

Nenda my computer kisha right click kisha properties nisomee jina la processor full.
 
Unamaanisha directX? Ipo dx 9 na 11, sema 11 inakuja na win 7 utatakiwa tu ku update graphics drivers.

Nenda my computer kisha right click kisha properties nisomee jina la processor full.
Ni Intel (R) core(TM)2duo CPU T9400@2.53Ghz2.54.GHz ndo hivo mkuu
 
Back
Top Bottom