ujumbe

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

    Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu. Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu. Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako. kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo. Kwanza, punguza chuki juu ya...
  2. Kasinja jr

    JamiiForums Tanzania Mama yake mpenzi wangu hataki Mgeni kwake baada ya kusikia Mshenga anaenda kupeleka Ujumbe wangu

    Nina mpenzi wangu ambaye tumependana kwa miezi 10 sasa, kaja kwetu Msoma kututembelea kutoka kwao Arusha ikiwa ni njia ya kujuana kiundani alikuja akakaa week 1 hotelini Baada ya kumshawishi aache kazi ili nimuoe, hii ni kutokana na kazi alokuwa anafanya ya counter kwenye Lounge fulani Dar es...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Japo wako kimya, Mkapa na Kikwete wanaridhika na hoja ya kutaka kumuongezea muda Magufuli?

    Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba. Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania fuatilieni mazishi ya George Floyd kuna ujumbe muhimu unatolewa kwa wanasiasa duniani kote!

    Tukio la mazishi liko live Al Jazeera, BBC na Sky news. Lugha ni English na lugha ya alama. Kama una nafasi jaribu kufuatilia ni tukio la kusisimua kwa wale wenye kuthamini utu wa binadamu. Up dates;
  5. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Ubalozi usiwe tena ni eneo la kuwapa makada wa CCM waliokosa vyeo

    January mwaka huu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi alisema bila juhudi za Rais John Magufuli, fursa za kufundisha lugha ya Kiswahili Afrika Kusini in getupita… “Fursa hiyo ingepita si kwasababu nyingine yoyote ile, uzembe wetu wenyewe” Aliyasema...
  6. Dam55

    JamiiForums Tanzania A good Lord has only ten, Ujumbe kwa Wanaharakati

    "A good Lord has only ten" George Clemenceu alisikika akimkosoa Rais wa marekani Woodrow Wilson kwenye mkutano wa Versaille treaty mwaka 1919. Hii imetokana na Rais wa marekani wa wakati huo Woodrow Wilson kuja na sheria 14 kwenye mkutano huo akiwa kama mwenyekiti. George kutoka ufaransa...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

    Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika. Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwenye PC una maana gani?

    Wakuu PC yang window 7 inatumia. Haifungui program baadhi ikiwemo virtual DJ na zingne nimeistall vizuri ila wakati wa kuopen inaandika hivi. "Dorectx failed to initialize please install the correct drivers for your video card " Naomba kueleweshwa maana nimeweka UC mini browser imekubali mbona...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Pia soma: 1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apinga uamuzi wa Spika kuwataka Wabunge watoro kurejesha posho na kutolipwa mshahara

    === Kufuataia sakata la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ndugai kuwataka Wabunge watoro wa vikao vya Bunge kurejesha posho na kutolipwa mishahara yao Mh. Tundu Lissu atoa neno lake. Lissu ameanza kwa kuhoji kuwa je Wabunge hao wa Chadema wanaotakiwa kurejesha hizo pesa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania VETA na double standard salary

    Pole na kazi Mkuu! Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi. Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
  12. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Siku yako ya kuzaliwa halafu mpaka Saa Saba mchana hujaona ujumbe wowote wa kukupongeza kutoka kwa mpenzi wako...

    Tukiwa bado tunaendelea na kupiga nyungu tusisahahau kuendelea kuchukua tahadhari nyingine dhidi ya adui yetu Corona. Kwa kuwa kila mtu kazaliwa, basi kuna siku moja katika mwaka huwa inajirudia kwa maana ya tarehe na mwezi. Kwa wale wenzetu mliopo kwenye mahusiano, najua inapofika siku kama...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Avatar yangu ina ujumbe mzito

    Hii avatar yangu naweza kusema ndio avatar ya mwaka 2020/2021.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wote waliounga mkono juhudi...

    Kwenu nyote mliohama vyama vyenu (haijalishi ni chama gani ulikotoka na chama gani ulihamia) naomba jibu swali hili (ukipenda); 1. Kitu kipi kilikufanya uwe kwenye chama ulichokuwa nacho kabla hujajiunga kwingine? 2. Na ulipoamua kuunga mkono juhudi; kipi kilichobadilika ulipotoka na kule...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

    Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM) Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

    Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania . Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote...
  17. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa NIDA na Mitandao ya Simu, Kilio cha wananchi

    Tumepiga marufuku mifuko ya rambo kwa yowe na maneno matam na sasa tunapiga marufuku utumiaji wa laini za simu kwa watu wengi kimya kimya na kwa utaalam mbovu, utadhani na hili ni new world oder (Maneno ya walevi tuyapuuze jamani, akili zao zinakimbia wakilewa zinarudi wakiwa wazima). Turudi...
  18. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum kwa maaskofu na waumini wa KKKT

    Kwa muda mrefu nimekuwa katika shuhuda kwa watu, ndani na nje ya nchi kuhusu mwenendo wa kanisa letu, viongozi wetu katika kanisa na hata kuhubiri mambo ambayo kwayo, KKKT limelelewa miaka mingi iliyopita. Sishangai mabadiliko ndani ya kanisa, ila mabadiliko yanapokiuka misingi ya dini, imani...
  19. Camp Lehigh

    JamiiForums Tanzania Wakati mwaka unaisha muachie ujumbe wowote member mmoja humu

    Labda member fulani alikukela,alikufurahisha,unampenda sana,unapenda michango yake, nakadhalika. Acha ujumbe wowote jwa member huyo either wa kumpongenza au kumtaka abadirike.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum wa tahadhari kwa Maaskofu na waumini wa KKKT

    KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA. SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI...
Back
Top Bottom