Uingereza: Premier League yalaani ujumbe ulioonyeshwa uwanjani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Wakati wa mechi kati ya Burnley na Manchester City, iliyochezwa Jumatatu, Juni 22 katika uwanja wa Etihad, kuna ujumbe uliosema “White Lives Matter” ulipitishwa uwanjani hapo kwa ndege

Ligi ya Uingereza ilionyesha kuunga mkono juhudi za watu wanaoendelea kupinga ubaguzi wa rangi unaoendelea duniani, na hivo wachezaji walivaa fulana zenye maneno “Black Lives Matter”

Ujumbe huo wa “White Lives Matter” uliopitishwa uwanjani hapo ulionekana kuchochea ubaguzi wa rangi na umelaaniwa vikali na klabu ya Burnley

Burnley wametoa kauli ya kuchunguza waliohusiaka na tukio hilo ili kuwapa adhabu ya kutohudhuria katika Michezo hiyo
===
Premier League football club condemns "White Lives Matter" banner flown over UK stadium

Burnley football club has strongly condemned a banner reading "White Lives Matter" that was flown by a small plane over the Etihad Stadium ahead of their English Premier League match against Manchester City on Monday.

Since the English Premier League's resumption last week, all players of the 20 top-flight clubs have replaced their names with the message "Black Lives Matter" on the back of their jerseys.

"We wish to make it clear that those responsible are not welcome at Turf Moor," read Burnley's statement.

"This, in no way, represents what Burnley Football Club stands for and we will work fully with the authorities to identify those responsible and issue lifetime bans," it added.
 
Kimsingi ujumbe “Black Lives Matter” ni racist; hilo halina ubishi. All human lives matter not only black. To be inclusive, ujumbe wa “Black Lives Matter” ulitakiwa angalau usomeke “All Lives Matter” ambapo usingeonesha kupendelea weusi peke yao. Walichemka tangu mwanzo.
 
Waarabu siwakubali kwenye Dini na Ugaidi na Rohombaya na Ukatiri.

Kuna mazuri mengi wanafanya
Kwenye dini how ?!

Ugaidi naukatili sifa yamtu hata wewe unaweza kua nao ukiamua naunaweza usiwenao ukiamua

Ama unaweza ukawa nao ama usiwe kwasababu pia.....
 
Kimsingi ujumbe “Black Lives Matter” ni racist; hilo halina ubishi. All human lives matter not only black. To be inclusive, ujumbe wa “Black Lives Matter” ulitakiwa angalau usomeke “All Lives Matter” ambapo usingeonesha kupendelea weusi peke yao. Walichemka tangu mwanzo.
Kuna vitu viko simple lakini mnavipindisha, Hio Black lives matter imekuja kwa sababu ya kukandamizwa black people katika taifa la Marekani, haikuja eti kwa sababu ya upendeleo au namna nyengine kama katika baadhi ya vichwa vyenu mnavyofkiri, hata hao white wanasema hivyo Black Lives Matter coz wanajua kuwa kunaudhalikishaji na chuki za weupe dhidi ya weusi, hao wamarekani wanaosema black lives matter wanajua zaidi kuliko ww ulioko bongo, usijifanye unajua kuliko wenyewe
 
Ulichoandika unahisi ni smart kumbe ni stupid. Black lives matter sio racist hata kidogo. Tazama hii picha uone maana ya unachokisema

all%20lives%20matter%20cartoon.png

Haiwezekani watoto wa nyumba jirani wanapigwa na mzee wao kila siku badala ya kupiga kelele ukapoint tatizo unasema watoto wote duniani wana haki sawa hahaha hilo tunalijua usipopoint kwenye tatizo hakuna mtu atajitokeza kufix.

So don’t be a pussy, learn something for once.
 
😃😃😃
 
Sio wazungu wote wanaounga mkono hayo maandamano ya BLM, hata sio weusi wote wanaounga mkono pia
 
Ulichoandika unahisi ni smart kumbe ni stupid. Black lives matter sio racist hata kidogo. Tazama hii picha uone maana ya unachokisema

all%20lives%20matter%20cartoon.png

Haiwezekani watoto wa nyumba jirani wanapigwa na mzee wao kila siku badala ya kupiga kelele ukapoint tatizo unasema watoto wote duniani wana haki sawa hahaha hilo tunalijua usipopoint kwenye tatizo hakuna mtu atajitokeza kufix.

So don’t be a pussy, learn something for once.
Hii analogy yako inamaanisha watu weusi tu ndio huuawa na police, kitu ambacho sio kweli
Najua utasema weusi wanauawa sana kuliko weupe, lakini weusi pia Wanafanta uhalifu sana kuliko weupe na Wana confront police Mara nyingi zaidi.

Sio suala la rangi Ni suala la ukatili wa police
 
Back
Top Bottom