uislamu

  1. Jason Bourne

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Itambue miezi mitukufu kwa mujibu wa uislamu. Mwezi wa Ramadhani si katika miezi mitukufu

    Assalaamu àlaykum wa rahmatullaahi wa barakaatuh Kuna watu wakiona heading kama hiyo tayari astaghfirullaah zinakuwa nyingi wakidhani labda nimepotosha. Twende pamoja kwa ufupi sana utanielewa Kalenda wanayotumia waislamu (si kwamba mimi siyo mwislamu bali mimi na wenzangu baadhi tunaitumia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  4. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Msiogope hizi Tahasusi za form 5 na 6, katika Uislamu, hakuna mgawanyo wa 'Elimu Dunia' na 'Elimu Akhera'

    Mgawanyo wa Elimu usiokubalika katika uislamu (Usio sahihi) -Katika uislamu, HAKUNA mgawanyo wa Elimu Dunia na Elimu Akhera -Mgawanyo huu ni potofu wenye dhana ovu kua kuna maisha ya dini yanayoongozwa na Mwenyezi MUNGU na maisha ya Dunia yanayoongozwa na binadamu Katika uislamu elimu maana...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya Gaza ni mwendelezo wa vita dhidi ya Uislamu kwa mtindo mpya

    Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda. Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia. Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Swali: Mwanamke anaweza kumuolea Kaka yake kwenye Uislamu?

    Kuna picha inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Bidada akimvisha pete Mwanamke mwenzie. Kulingana na Mavazi yao ni dhahiri kuwa hao wadada ni Waislamu kiimani, kama unavyojua kwenye wengi huwa hapakosi maneno basi kuna baadhi ya watu wakasema kuwa huyo Dada anamuolea ndugu yake wa kiume, na...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Imam atolea maelezo jinsi inaruhusiwa kuteka na kuua watu kwenye uislamu

    Aagiza Wayahudi wasakwe na kutekwa na kuuawa maana kurani imetoa maagizo hayo, Wayahudi wanafahamika kama "people of the book" kwenye kurani. ==================...
  9. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Uislamu ulifika Afrika na kukubalika vyema kabla ya mji wa Makka (Saudia)

    Katika mwezi Mei 614 CE, Muhammad (s.a.w) aliwashauri idadi fulani ya wanafunzi wake wa kwanza, waliokuwa wakikabiliwa na mateso kutoka kwa wakaaji washirikina wa Mji wa Makka (Saudia), kutafuta kimbilio ng'ambo ya Bahari Nyekundu huko Axum. Katika utamaduni wa Kiislamu, tukio hili...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    1. Lord's Resistance Army (LRA): Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, mauaji, na kuwatumia watoto kama wapiganaji. LRA limekuwa likiendesha harakati zake katika maeneo ya...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Athari za vita vya Kidini

    Katika historia ya binadamu, vita vya kidini vimekuwa ni mojawapo ya matukio yenye athari kubwa kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Vita ya Israel na Palestina imedhihirisha wazi udini miongoni mwa watanzania wengi. Mara nyingi, mizozo hii inachochewa na tofauti za imani na itikadi za kidini, ikileta...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

    Wanaukumbi. #JoshuaMollel: 👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”? Nina maswali: 1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)? 2)...
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nashawishika kuingia kwenye uislamu kutokana na sheria za ndoa walizonazo

    Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao Ndoa sio kifungo kwenye uislamu Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Majini na Uislamu, elephant in the room!

    soma kuhusu sayansi ya majini kama unataka kuulewa uislamu vizuri, majini yanatambulika hata na kitabu kitukufu cha uislamu Kuran. waislamu wanaamini kabisa uwepo wa majini kama ulishawahi kuishi na wanao practice uislamu utakuwa ulishuhudia vitu na mambo ya ajabu kuhusu majini. Kuamini uwepo...
  15. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu talaka na taratibu zake katika Uislam

    FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake katika UISLAMU. Sehemu Ya 1 ‏اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎) As-salāmu alaikum wa-rahmatullahi wabarakātuh. Peace be upon you as well as God's mercy and blessings. Amani iwe juu yako pamoja na rehema na baraka za Mwenyezi Mungu...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Magaidi wasihusishwe na Uislamu

    WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi? JE...
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

    Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi. Saudia iko wap na uwezo wake? Qatar je kwann wasitoe hata vifaa? Misri jirani kabisa...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiongozi wa kundi la HAMAS abadili dini na kuwa MKRISTO na kuelezea yanayofanyika ndani ya Hamas

    Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

    Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe. Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana...
Back
Top Bottom