Kabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries.
Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority.
Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing...
Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe.
Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari)
Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
Nchi nyingi za Ulaya zinapokea Waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya Waislamu tu (Wakristo hawaruhusiwi).
Waislamu hujazana kwa hizi mbinu:
- Kuomba kuishi Ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwa sababu Nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika Ulaya wanaita familia...
Swali la uelewa,
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
Katika historia ya Tanzania kuna mtu aliyeitwa Kisabengo. Kisabengo alikuwa ni mtumwa wakati ambapo Sultani wa Zanzibar anatawala Zanzibar na pwani ya Afrika mashariki. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu sana. Baada ya muda akatoroka atumwa akiwa na watumwa wengine akiwa kiongozi wao.
Baada ya...
Habarini za kutwa nyote.
Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba...
Moja kwa moja kwenye hoja. Kinywaji hiki cha 'mnazi' ni maarufu sana na kinatumiwa kwa wingi katika ukanda wa pwani wa nchi yetu ambao kwa kiasi kikubwa una idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiisilamu.
Kwa kuwa kinywaji hiki kina 'ulevi' ndani yake, yaani kwa kunyoosha maelezo ni pombe, na kwa...
Mgawanyo wa Mali katika uislamu
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunaendelea kujifunza na mfululizo wa makala...
Abuu Kauthar
Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao.
Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
Thawabu Za Kutoa Maji Katika Uislamu: Sababu Saba Za Kujenga Kisima cha BURE
Maji ni neema kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt) ambayo mara nyingi tunaichukulia kawaida, lakini wakati wa ukame, kupitia rehema za Mwenyezi Mungu, tunazidi kufahamu shida zinazowakabili wale wasio na maji salama...
Baadhi ya watu duniani wanahusisha uislamu na ugaidi, ufarakanishaji na vita, na vyombo vya habari hasa vya nchi za magharibi, vimekuwa vikipaza sauti za maoni hayo kuhusisha maeneo ya Mashariki ya Kati, Afrika Kaskazini, Afghanistan na kwengineko.
Lakini wachina waislamu, wanaamini kuwa picha...
Prof. Sheikh Habib ibn Othman ibn Mazinge amefanya Kazi kubwa Sana ya kuhubiri uislamu katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kuwaleta watu wengi katika uislamu. Anahitaji pongezi kubwa Sana
However ipo njia moja ambayo umma wa kiislamu una I underrate.
Njia hii ikitumika inaweza kuwafanya...
Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu.
Hapo mashosti wanakucheka umeachwa unashangaa. Juzi nilienda kwa shosti yangu kaolewa huu ni mwaka wapili mie...
Kuna huyu mtoto anaitwa Hashyat. Alikua anaimba nasheed lakini kwa sasa ameacha kwa sababu ya umri. Kiukweli huyu mtoto kabarikiwa sauti, ana maadili na anajua kujibu maswali vizuri akiwa mbele ya camera zaidi hata ya wasanii wetu wakubwa. Kuna mahojiano alifanya kwenye sherehe yake ya kumaliza...
Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.
Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais...
Ureno kwa nchi za Afrika Mashariki iko pembe ya mbali sana na mbele ya kaskazini magharibi ya Afrika.Hata hivyo eneo hili la Afrika limejaa historia inayofungamana na Ureno kuanzia Kenya mpaka Msumbiji.
Hii nchi inayojulikana rasmi kama Porugal kwa sasa inajinasibu sana na Ukristo wa madhehebu...
Rais Dkt. Magufuli ulimtumbua upesi yule Mtumishi wa Halmashauri ya Kilosa Ndugu Daniel Maleki ambaye alikuwa ni Afisa Kitengo cha Biashara kwa Kosa la Kuchana Kitabu Kitakatifu cha Quran kinachotumiwa na Waislamu, ila tunashangaa ni kwanini hadi hivi sasa hujamtumbua Mkuu wa Wilaya Jerry Muro...
Kiukweli nashindwa kuelewa uhalali wa ndoa ya mkeka
Ndoa ya mkeka ni ndoa ambayo huwalazimisha vijana kuingia katika ndoa kuwaepusha na kuendeleza zinaa
Hufanywa kwa kuwavamiwa watoto hao wawapo faragha na muda huo huo ndoa hupishwa na kufungishwa na shekhe
Ndoa hizi zimekuwa zikihusishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.